Adacom Planet
Adacom planet is a private business company dealing with advertisements, promotion services, event planning and management such as weddings, concerts etcs.
Adacom Planet are experts in handling business and local advertisements at your best interest with the preferred media, and also it includes Public advertisement [PA] not forgetting road shows for advertising and promotional activities. Also we deal with planning, handling and managing different events such as marriage ceremonies, graduations, Jubilees, holidays, entertainment shows and concerts.
Ramadhan mubaraka
Filbert Bayi ndio Regends wa ukwel taja mwingine
Hamjbo wadau wangu nawapenda sana sijapost Yangu 2019 nilikaa kimya sana ila kwa sasa nimerud karibun sana
22/06/2017
BAADA YA VIGOGO WA ESCROW TAKUKURU YAHAMIA KWENYE KASHFA NYINGINE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema itawafikisha mahakamani kutegemeana na ushahidi watuhumiwa wote walio...
22/06/2017
MFANYA BIASHARA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKUTWA NA SARE 5000 ZA JWTZ Mfanyabiashara wa Kariakoo, Casto Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mash*taka ya kukut...
22/06/2017
WALIMU KULA BINGO KOZI YA KIMATAIFA 7 Zaidi ya walimu wakuu na maofisa elimu 25 kutoka wilayani Ngorongoro, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamepata mafunzo maal...
22/06/2017
LWANDAMINA:NITAPATA KIBUKO YA NIYONZIMA Kocha wa Yanga, Mzambia George Lwandamina amesema kwamba Afrika ina vipaji vingi anaamini atapata mbadala wa kiungo wa Rwan...
22/06/2017
IBADA YA EID EL-FITRI KITAIFA KUFANYIKA MKOANI KILIMANJARO Akizungumza mwishoni mwa wiki iliyopita M***i Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeir alisema Swala ya Eid Fitri kitaifa ita...
22/06/2017
PROFESA MUHONGO ATOROKA Mei 24, mwaka huu, Rais John Magufuli alitengua uteuzi wa Prof. Muhongo katika baraza la mawaziri, ikiwa muda mfupi baada y...
22/06/2017
RAMADHANI:RAIS MAGUFULI AFUTURISHA WANANCHI WA PWANI ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 21 Juni, 2017 amefuturisha wananchi wa mkoa ...
22/06/2017
NDEGE YA NATO YAIKARIBIA ILIYOKUWA IMEBEBA WAZIRI WA URUSI BALTIC Ndege ya jeshi la NATO imeikaribia ndege ya Urusi iliyokuwa imembeba waziri wa ulinzi wa Urusi lakini ikafukuzwa na ndege y...
22/06/2017
MSIKITI WA KIHISTORIA WALIPULIWA IRAQ Jeshi nchini Iraq limethibitisha kwamba wanamgambo wa dola ya kiislam Islamic State wameulipua msikiti mkuu wa Al-Nuri ulio...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
MIANZINI, DIPLOMAT HOUSE 3RD FLOOR
Arusha
BOX11064