MeCoB BANK

MeCoB BANK

Share

Meru community Bank

We offer a complete line of financial products while providing superior customer service to all of our clients in the community.

Meru Community Bank Limited was launched from 31st October 2011 with the objectives that the transactions of any and all lawful businesses for which banks may be licensed to undertake in Tanzania under the provisions of the banking and financial Institution Act No.12 of 1991 (the Banking Act) or any statutory modifications or re – enacted. Among its major shareholders is the Meru District Counci

14/12/2017

BODI YA WAKURUGENZI YA BENKI YA WANANCHI MERU INAPENDA KUKUTANGAZIA KUWA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WOTE UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 16/12/2017 KATIKA UKUMBI WA FIKIRIA KWANZA USA RIVER KUANZIA SAA TATU KAMILI ASUBUHI.TUNAKUHIMIZA KUHUDHURIA ILI KWA PAMOJA TUIJENGE BENKI YETU.
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA NAMBA ZIFUATAZO: +255784634449

Photos from MeCoB BANK's post 06/08/2017

Tembelea banda la MeCoB Bank lililopo katika viwanja vya nane nane kabla ya maonesho kuisha , unufaike na huduma zetu mpya zitakazokuletea maendeleo endelevu.Kukurahisishia kufika bandani piga 0784634449.

06/08/2017

Fika kwenye Banda Letu lililoko nane nane kabla ya maonesho kuisha, Tupo karibu na banda la Radio 5,Unufaike na huduma zetu mpya zitakazokupa fursa ya kujiletea maendeleo endelevu.

Photos 16/06/2017

Siku ya Mtoto wa Afrika.
Maendeleo Endelevu 2030: Imarisha Ulinzi na Fursa Sawa kwa Watoto
MeCoB Bank Mdau katika Kuimarisha Elimu ya Mtoto .

Photos 21/12/2016
11/12/2016

Salamu kutoka MeCoB Bank

Malizia Jumapili yako kwa kuweka malengo ya kuwekeza na Benki ya jamii (MeCoB Bank).

Jumapili Njema .

24/10/2016

MeCoB Bank katika kipindi hiki cha kuadhimisha wiki ya wateja inakukaribisha kupata huduma bora mbalimbali za kibenki katika Matawi yake.
“Usisubiri kuhadithiwa”

"Mshirikishe na mwenzio habari njema"

MeCoB Bank Ltd 06/10/2016

KUFIKIA MAFANIKIO YALIYO TUKUKA

Want your business to be the top-listed Finance Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Usa River
Arusha
P.OBOX365,USARIVER