Prophet Elibariki Boaz

Prophet Elibariki Boaz

Share

The Official page For Prophet Elibariki BOAZ
Founder of GOOD NEWS CHURCH OF ALL NATIONS (GCOAN) LIKE PAGE YETU KWA UPENDO WA AGAPE ( AGAPE LOVE)

05/10/2026

Baraka ambayo umekuwa ukisoma na kuisikia ya Ibraimu, Isaka na Yakobo. Nakuombea iwe juu yako wiki hii yote.

02/10/2026

Mwezi huu wa 10 malango yako ya baraka yatakuwa wazi na watu watakubariki sana.

29/09/2026

Jina lako litatajwa miongoni mwa watu watakabarikiwa kwa baraka kubwa wiki hii.

18/09/2026

Mungu akuepushie kikombe cha madeni..!

15/09/2026

Unapoanza wiki hii, tembea kwa amani ukijua Mungu anaongoza kila hatua yako.!!

07/09/2026

Wiki hii Mungu akustareheshe katika mema ya nchi Pande zooote!.
Andika AMEN itakuwa kwako.

12/08/2026

Nakubariki wiki hii upate kitu kitu kizuri utakachokumbuka maisha yako yote.

10/08/2026

MAUMIVU MAKALI YA MOYO SI RAHISI KUYAELEZA KWA MANENO.

Kuna maumivu makali ambayo si rahisi kuyaeleza kwa maneno, hasa pale unapokuwa umeweka moyo wako, uaminifu wako, muda wako, maisha yako.....

Kwa,
mke, mme, mpenzi ,mchumba ....alafu unaachwa.

Sasa, ushahuri wangu huu hapa kabla sijakuombea.

Usiruhusu maumivu ya leo yakubebe miaka yote. Jifunze kutokana na yaliyopita, ila usiishi ndani ya yaliopita. Usitumie nguvu zako kumchukia aliyekuacha, tumia nguvu nyingi kujijenga tena upya. Bado wewe ni thamani, bado una kusudi, bado una kesho yako na bado Mungu ana mpango na wewe.

KUMBUKA JAMBO MOJA: Kuachwa na mtu haimaanishi umeachwa na Mungu.
TUOMBE!

Baba katika jina la Yesu Kristo,
nawakabidhi wana ndoa wote mikononi mwako. Naomba uwaguse wote wawili, kipekee uwape upendo, msamaha, uvumilivu na moyo wa kuelewana.

Pia, nawaombea wawili kuwa mwili mmoja. Na kwa jina la Yesu Nakataa kila roho ya kuachana, migawanyiko, mafarakano na chuki dhidi ya wana ndoa.

Na chochote ambacho kinalenga kuvunja uchumba au ndoa nabatilisha kwa jina la Yesu.

Bwana, Sasa ninaomba kwa hawa wengine,uwarejeshe katika upendo, amani na umoja.
Ndoa hii isimame, ipone na iwe na ushuhuda kwa utukufu wako.

Ni katika jina la Yesu, nimeomba na hata kuamini. Amina!

Prophet Elibariki Boaz
10/8/2026.

03/08/2026

MAOMBI MAKUBWA YA MWEZI WA NANE(8) KWAKO.

"ILI UFANIKIWE KATIKA MAMBO YAKO YOTE "

●Nakuombea uwe imara na kuwa na afya njema" Pokea"

●Naombea ya imani yako isipungue bali iongezeke,na maisha yako ya Kiroho yawe juu kuliko miezi iliyopita" Pokea "

● Nakuombea ufanikiwa katika kazi zako,na ufanikiwe katika biashara zako kwa viwango vya juu na vya Kimbingu "Pokea"

●Naombea mipango yako, malengo, nyumba, elimu,kampuni, miradi, kilimo, huduma, siasa, na vyote ulivyotamani kufanya, kukamilisha au kumiliki . MUNGU afanikishe vyote mikononi mwako kwa jina la Yesu " AMEN"

●MWISHO, nakuombea ulinzi wa Mungu ukulinde wewe, familia yako pamoja na watu wa nyumbani mwako. " AMEN "

Pokea, Maombi ya Prophet,

Elibariki Boaz.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Elibariki Boaz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Arusha.