Adorn Farming Group
proffessional dealers in field crop production , irrigation systems installation and marketing
15/06/2023
PUNGUZA GHARAMA NA MUDWA WA KUANDAA SHAMBA LAKO NA EASY CLEAR 80SG
ππ Hiki ni kiua gugu maalumu kwa kusafisha shamba, ndani yake Ina kiambata cha Glyphosate ammonium salt 80%. Inakausha magugu ya aina zote makubwa mpaka madogo,ya muda mfupi Pamoja na ya muda mrefu ,inatengenezwa na kusambazwa na kampuni ya KESAI EAGROW TANZANIA LIMITED
ππ Easy clear ina Kiwango cha juu glyphosate, hufyonzwa na majani kwa haraka , ujazo ambao ni rahisi kwa mkulima
ππ Easy clear ni sumu ya kuulia Magugu isiyochagua ya kimfumo(systemic) hufyonzwa na majani/shina na kusambaa sehemu zote za magugu na hivyo kuua magugu husika kuanzia kwenye mizizi hadi kwenye majani
ππ Easyclear ni salama zaidi, rahisi na gharama nafuu katika usafiri hata kwa shamba ikilinganishwa na glyphosate nyingine, inapatikana katika ujazo wa 40g pamoja na 240g
ππ easy clear 80 SGuwezo wa kunasa(kuganda kwenye shina/majani) na kupenya kirahisi ndani ya mmea husika na hivyo utendaji wake ni wa viwango vya juu
ππEasy clear 80SG ni dawa ambayo unaweza pulizia Leo na ukapanda kesho pasipo kudhulu mbegu yako au ardhi yako
ππEasyclear 80SG inatumika katika sehemu zote za Tanzania. Matumizi yake hayana kikomo.Ina asilimia kubwa ya viambato hai (88.8%) zaidi ya granular glyphosate(za chenga) nyingine zote nchini na hata nchi jirani
ππ Inapatikana kwa bei ya Tshs1900 kwa pakti ya 40g ,na 10,000 kwa pakti ya 240g
Linda mazao ,uongeze mavuno na kesai Eagrow Tanzania limited
Kwa maelezo Zaidi tupigie kwa simu namba
0742192670/0621663221
09/10/2022
07/10/2022
07/10/2022
Maandalizi ya shamba kwa ajili ya kilimo cha pilipili mwendokasi mkoani dodoma ,chini ya usimamizi wa wataalam kutoka Adorn Farming Group , tafadhali wasiliana nasi kwa huduma na msaada zaidi
0713477948
05/10/2022
Kila mkulima anafurahia kupata mavuno mengi , watu wengi wanafanya shughuli za kilimo lakini hawajui ni namna gani wanaweza faidika kupitia kilimo
Adorn group , tunamsaidia mkulima kupata mavuno mengi kwa kulima kisasa, chini ya usimamizi wa wataalamu wenye uzoefu na kazi hii, tunatoa huduma k**a vile
1 ufungaji wa mfumo wa umwagiliaji shambani yaani( drip irrigation system )
2.usimamizi na uendeshaji wa miradi ya kilimo katika mikoa yote ya tanzania bala na visiwani
3.ushauri wa kilimo na kuwasaidia wakulima kutatua changamoto zinazowakabili katika kilimo
4.elimu kuhusu kilimo biashara
Na huduma nyingine nyingi zinazohusu kilimo
Tupigie kwa namba 0713477948 , kwa msaada ,maswali na ushauri zaidi
01/10/2022
Tupo live kupitia megafm tz
Bonyeza link hapa chini kusikiliza kinachoendelea
Mega Fm Radio TZ on Mixlr MEGA MEDIA GROUP CO. LTD Mega Fm Radio TZ Arusha Tanzania East Africa. +255 (0) 768610568 Email :[email protected] whatsapp:+18045737415
30/09/2022
Ni ndoto ya kila mkulima kupata kilicho ,bora
ni kampuni tunatoa huduma mbalimbali zinazolenga kumsaidia mkulipa kupata mavuno mengi k**a ifuatavyoushauri wa kitaalamu kwa mkulima ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji mashambani usimamizi wa miradi ya kilimo upimaji wa mashamba na upuliziaji dawa/ mbolea mashambani kwa kutumia teknolojia ya drone ,kutafuta masoko ya mazao ya kilimo
wasiliana nasi kwa simu namba 0713477948 kwa msaada zaidi,
30/09/2022
Catch us mega fm , today we are adorn β€οΈ
02/08/2022
Field cleaning , hatua za awali kabisa katika maandalizi ya shamba ,
Piga 0713477948 kwa ushauri na maelezo zaidi
31/07/2022
Rate this crop performance based on your own point of view
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Arusha
Arusha