Anointed Room Ministry
OUR VISION IS TO HELP PEOPLE DEEPEN THEIR PERSONAL RELATIONSHIPS WITH GOD IN JESUS CHRIST. KUWASAIDIA WATU KUIMARISHA MAHUSIANO YAO NA MUNGU KATIKA KRISTO YESU.
07/06/2026
FINAL DAY IN MOROGORO
SIKU YETU YA MWISHO KWA WAKATI HUU HAPA MOROGORO.
YESU AMESHINDA
TUMESHINDA KITOFAUTI.
NEXT DODOMA
06/06/2026
DAY 2
MOROGORO
05/06/2026
MOROGORO DAY ONE
Tunamtukuza Mungu kwa ibada inayoendelea na neno zuri kabisa la HUMBLE BEGGINING, MWANZO MDOGO, namna usipodharau mwanzo mdogo na nini ufanye.
Tumekuwa na maombi mazuri pia ya kutufungua zaidi na zaidi. Kesho ni siku ya pili ya Kusanyiko la Maombi na maombezi. Hapa mwembesongo Morogoro.
Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
05/06/2026
NI LEO KUANZIA SAA SITA MCHANA.
UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWEMBE SONGWE.
04/06/2026
DIVE THE BIBLE SAA TATU KAMILI.
USIKU WA LEO ALHAMISI.
Tunaendelea na Mfungo wa Nusu mwaka. Tunaelekea mwisho wa kuimaliza nusu ya mwaka huu 2026, Jamani ni mengi sana tumekutana nayo, ni mengi sana tunapitia ila zaidi tunapoingia miezi sita iliyobaki tusimame na kuhakikisha tunamaliza malengo yetu tuliyiwekwa kwa mwaka huu 2026, k**a kuna mambo shetani anapanga tusimalize basi kwa neema na uweza wa Mungu tuweze kuyashinda.
Lakini pia k**a kuna namna akili zetu tu zimeshindwa kufunguka kutambua ni mambo gani yqnayosumbua then tuone.
MOROGORO
Tunakutana ijumaa, jumamosi na jumapili hii
05, 06 & 06 June 2026 saa sita mchana
Karibu kwenye HEMA LA NEEMA ILIYOZIDI
Tushinde kitofauti
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Arusha
255