Geofrey Media Blog
HABARI | MICHEZO | BURUDANI | MAISHA | VIDEOS | MATANGAZO |
Waweza kushare na marafiki zako nao wapate habari hizi kila siku. KARIBU YAKO ZAIDI
Pia usikose kutembelea blog yetu kuendelea kupata habari kemkem kila saa na kila siku. Tembelea http://www.geofreymedia.co.tz
16/01/2024
🤝 Habari rafiki yangu mpendwa🫂
Je unajua kuwa simu yako ni ajira tosha🤗 simu yako ya mkononi📱 inauwezo wa kukuingizia 10000 mpaka 20000 kwa kila siku ukiwa tu👇
* APP YA APPPESA*
*na mtaji mdogo Sana WA kufungulia account ya APPPESA ambao mtu yeyote anaumudu *
Nitumie ujumbe mfupi WhatsApp namba 0768465103 tuma neno (nifundishe) au Gusa https://www.apppesa.com/page/reg.php?reg=hadithizetu
12/08/2022
AD: Ndiyo ni kutoka jipatie nakala ya hadithi au kitabu kwa bei nafuu sawa na bure kuna offer ya hadi 6️⃣0️⃣% Woow❗ Unangoja nini❓ Ingia www.payhip.com/hadithizetu na ujipatie nakala yako sasa.
Kumbuka, hii ni leo tu yaani LIMITED OFFER❗❗❗
09/07/2022
🎧Sikiliza kwa kugusa link
👇🏿👇🏿👇🏿
https://audiomack.com/hadithizetu/song/vitu-vya-kuzingatia-kabla-ya-kununua-bidhaa-mtandaoni
_______
🖊K**a una maoni tuandikie hapo chini pia usisahau kufollow page yetu.
📱Pia tembelea akaunti zetu;
Twitter.com/hadithi_zetu1
Instagram.com/Hadithi_zetu1
28/06/2022
https://trk.elementor.com/odt3t4uktmb5
Elementor Cloud Website Pricing: Seamless WordPress Creation One website, one fixed price, no hidden fees. All features are included at one attractive price. Start your path to web creation today
23/05/2022
https://anchor.fm/gleogneyhadithi/episodes/MSONGO-WA-MAWAZO--DALILI--TIBA-e1iu2tr
MSONGO WA MAWAZO | DALILI | TIBA by Hadithi Zetu Podcast Msongo wa mawazo ni mlundikano wa mawazo mengi kichwani. Mlundikano huu unaweza kupelekea athari za ndani ya mwili na nje ya mwili na kuathiri maisha ya kila siku ya kawaida ya mtu.
13/01/2022
OFFER❗ OFFER❗OFFER❗
Unaweza kununua HADITHI ya JARIBU LA USHINDI kupitia https://payhip.com/b/ZSl4 na kupata punguzo la 10%. Unachotakiwa kufanya SHARE hadithi hii kwa rafiki yako kisha rudi kwenye sehemu ya manunuzi na fanya manunuzi kwa punguzo. Rafiki yako naye atakaponunua atapata punguzo la 10%.
Ofa hii ni hadi Jumapili saa 12 jioni.
🔸USICHELEWE🔸
15/09/2018
Untangling Justin Bieber and Hailey Baldwin's Whirlwind Wedding Buzz Are they or aren't they? Justin Bieber and Hailey Baldwin have sparked wedding rumors in the past 24 hours after they were spotte...
29/08/2018
Mashabiki wa kundi la Muziki la BTS wadhihirisha mapenzi yao kwa kundi hilo.
Hii ni baada ya kuachia video ya wimbo wao uitwao “IDOL” na kuweka rekodi katika mtandao wa YouTube kwa kupata watazamaji wengi ndani saa 24 tu.
Ndani ya muda huo video ya wimbo wa IDOL ilikuwa na Viewers zaidi Milioni 45 ndani ya siku moja na kuvunja rekodi ya Taylor Swift aliyoiweka kwa Viewers Milioni 43.2 kwenye video ya wimbo wa “Look What You Made Me Do” Katika mtandao wa YouTube.
Aidha kabla ya “IDOL,” BTS waliwahi kuvuna watazamaji milioni 35.9 ndani ya saa 24 katika video ya wimbo wao ya “Fake Love” mwezi May.
Hii inadhihirisha namna ambavyo mashabiki wa kundi hili walivyo active katika kusupport kazi za kundi hili.
Pengine, baadae wanaweza kufikisha views Bilioni moja kwenye hii ya “IDOL” jambo ambalo wafuatiliaji wa rekodi hizi wanasema siyo rahisi.
Rekodi zinaonesha video ambazo zilikuwa na watazamaji wengi katika mtandao huu wa YouTube ni ya , na ya wimbo maarufu wa “Despacito,” ambao umegonga watazamaji bilioni 5.46, kupitia video ya wimbo wa “Shape Of You” na akishirikiana na video ya wimbo “See You Again” ambao umegonga viewers Bilionin 3.73.
Wimbo huu ulikuwa ni soundtrack ya filamu ya Fast and Furious 7.
Mashabiki wa hapa Bongo vipi?
28/08/2018
K**a utakumbuka vizuri Shawn Michaels Hickenbotton a.k.a HBK k**a anavyojiita, alistaafu kwenye mchezo wa mieleka "Wrestling" March 28 mwaka 2010 baada ya kupoteza pambano lake kwa The Undertaker, sasa ana rejea wiki ijayo kwenye .....Came Back yake itakuwaje?
DON'T MISS
28/08/2018
The team of Ronda Rousey & The Bella Twins will unite to take on The in Melbourne, Australia, on October 6 at ! DON'T MISS!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Sakina
Arusha
23000
Opening Hours
| Monday | 05:00 - 00:00 |
| Tuesday | 09:00 - 00:00 |
| Wednesday | 09:00 - 00:00 |
| Thursday | 09:00 - 00:00 |
| Friday | 09:00 - 00:00 |
| Saturday | 09:00 - 00:00 |
| Sunday | 09:00 - 00:00 |