CASFETA ARUSHA
Karibu CASFETA Mkoa wa Arusha. Hapa utapata taarifa na mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu. Usipotee bure, njoo tushauriane, tujengane na kutiana moyo.
Kipindi cha ujana ni kigumu sana bila ulinzi wa Mungu, CASFETA ni jumuiya ya wanafunzi waliookoka Mashuleni na Vyuoni, hivyo kusaidia na kukuza vijana katika misingi ya Kimungu. Je, wewe ni mwanafunzi wa chuo au shule ya sekondari mkoa wa Arusha?. K**a unahitaji kuokoka pia, una nafasi leo. Karibu sana.
10/05/2022
https://nijuzemedia.com/2022/05/10/walter-chilambo-messiah-download-mp3-audio/
Walter Chilambo – Messiah | Download Mp3 Audio Walter Chilambo – Messiah | Download Mp3 Audio
EASTER CONFERENCE ARUSHA 2021
02/04/2021
MAMBO YAPO MOTO KWENYE KAMBI YA PASAKA CASFETA ARUSHA 2021
MWANA WA MUNGU, KONGAMANO LA PASAKA (EASTER CONFERENCE ARUSHA 2021) LIMEANDALIWA, LIMEKAA MKAO, NAKUHAKIKISHIA HAUTAJUTA KUJA, NJOO NJOO NJOO MWANA WA MUNGU UWEPO WA MUNGU UPO PAMOJA NASI TUKAMSIFU NA KUMTUKUZU JEHOVAH
22/03/2021
22/03/2021
*```Walimu walezi, viongozi & wana Casfeta WOTE Mkoa wa Arusha, Nina wasalimu kupitia jina kuu LA Yesu Kristo aliye hai...
_Poleni sana kwa msiba wa kiongozi WETU tuliye mpenda lakini Mungu kampeda zaidi (Niwakati wa kuendelea kuliombea Taifa letu zuri LA TANZANIA amani ili tuvuke kwenye kipindi hiki kigumu)
_
*Napenda kuwasisitiza juu ya kuhudhulia kambi LA Pasaka (Easter conference) reporting day ni tarehe 01/04/2021 tutakaa hadi tarehe 05/04/2021.
NB: KWA ADA YA 15,000/= TU KWA SIKU ZOTE.
TUNAJUA SHULE NYINGI ZITAKUWA ZIMEFUNGA SHULE TAYARI, NAOMBA SANA MWALIMU MLEZI UWEZE KUWAONYESHA WATOTO UNAO WALEA UMUHIMU WA KUHUDHULIA KONGAMANO HILI.
VENUE/MAHALI NI PALEPALE NORTHERN BIBLE COLLAGE N.B.C -NGARAMTONI ARUSHA...
KONGAMANO HILI LINAENDA KUONYESHA MWANGA KWA VIJANA NI NAMNA GANI WANAWEZA KUSHIDA DHIDI YA VITA YA ADUI KATIKA MAISHA YAO NA KUMPENDA MUNGU NA KULIPEDA TAIFA LA TANZANIA, N'K.
KARIBUNI SANA WENU KATIKA UTUMISHA WA BWANA.
PHILIPO PAULO LUTEMA MKT CASFETA MKOA WA ARUSHA.*```*
24/12/2020
CASFETA MKOA WA ARUSHA, sasa baada ya kupata MOTO WA UAMSHO KWENYE DECEMBER CONFERENCE.... Hakuna muda wa kupoteza ni kuingia kazini....Nguvu za Mungu ni DHAHILI Yesu Kristo ATAHUBILIWA.
14/12/2020
CASFETA MKOA WA ARUSHA WANAPENDA KUWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE KONGAMANO LA MWEZI WA KUMI NA MBILI KANDA YA KASKAZINI (ARUSHA, MANYARA & KILIMANJARO), NI PALE PALE NBC NGARAMTONI. TUNAENDA KUFUNGA MWAKA NA MOTO WA UAMSHO. UNAANZAJE KUKOSA KWA MFANO???
KARIBU SANA WAKO KATIKA UTUMISHI WA BWANA PHILIPO PAULO LUTEMA, MKT CASFETA MKOA WA ARUSHA.
10/12/2020
CASFETA MKOA WA ARUSHA INAPENDA KUWAALIKA WOTE KWENYE MKESHA WA KUWAKARIBISHA MWAKA WA KWANZA WA VYUO VYOTE MKOA WA ARUSHA. UTAKUWA NI USIKU WA NGUVU USIPANGE KUKOSA.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when CASFETA ARUSHA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.