J.Y Classic

J.Y Classic

Share

J.YCLASSIC FOLLOW

18/07/2025

Ni msanii ambae bado anajituma bila mashabiki 😪😭ila ipo siku

18/07/2025

Hety alie juu mgonje chini hii kauli nikweli ama uwongo🤣😂😅

14/07/2025

Mungu akuongoze kwa siku ya leo

13/07/2025

🥰😍

13/07/2025

Dunia imekufunza nini

13/07/2025

Kwani giza niya ngono ama mwizi

Niambieni nijipange

13/07/2025

Mtoto mdogo anampendea mamake nyonyoo
Sasa wewe unampendea nini uyo bea wako

13/07/2025

Mie ni mrembo lakini najua utanidarau

12/07/2025

Mapenzi ya FB nikweli ama uwongo

12/07/2025

Kienyeji wanaishi wapi nawatafuta

12/07/2025

Usinikimbie sina ubaya najitafutia maisha

12/07/2025

Usinipende ntakumiza maana mie siyo tajiri wa hela

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha