Smart media

Smart media

Share

28/06/2025

PACHA WA WAZIRI DKT BITEKO ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO JIPYA LA KATORO

Kulwa Biteko, Muambata wa Balozi wa Tanzania nchini Uganda anayeshughulikia masuala ya fedha ametangaza nia na kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo jipya la Katoro wilayani Geita mkoani Geita

Kulwa Biteko ambaye ni pacha wa Dkt.Doto Biteko naibu waziri mkuu na waziri wa nishati nchini amechukua fomu ndani ya chama cha mapinduzi wilaya ya Geita

Biteko pia amewahi kuwa mgombea wa nafasi hiyo jimbo la Busanda ambalo ni jimbo mama kabla ya kukatwa kwa jimbo la Katoro na kuwa mshindi wa pili mwaka 2020 kwa kura 665

Zoezi la kuchukua fomu za ubunge ndani ya chama cha mapinduzi limeanza leo juni 28, nchini kote

28/04/2025

Waziri mkuu Mhe: Majaliwa Kassim Majaliwa amewasili mkoani Arusha na anatarajiwa kufunga mkutano wa 73 wa Baraza la kimataifa la viwanja vya ndege kwa kanda ya Afrika (ACI Afrika) unaofanyika katika Hotel ya Mount Meru.

17/04/2025

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekuwa likifuatilia matamko mbalimbali na mipango ya baadhi ya Viongozi wa Chama cha CHADEMA kikihamasisha Watu kukusanyika April 24, 2025 eneo la Mahakama ya Kisutu huku katika mipango yake kikilenga kufanya vurugu kwa lengo la kushinikiza mamlaka za kisheria kumwachia mmoja wa mtuhumiwa Tundu Lissu atakayepelekwa siku hiyo Mahakamani hapo.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro kwenye taaarifa aliyoitoa leo April 17,2025 amesema “Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linawakumbusha Wahusika kuwa Mahakama ni Mamlaka za kisheria zilizo huru na hazipaswi kutishwa au kuingiliwa wakati wa utekelezaji wa majukumu yake”

16/04/2025

Gambo aibua tuhuma nzito Arusha

Photos from Smart media's post 21/11/2021

Haya hapa magazeti ya leo Nov 21/2021

Photos from Smart media's post 11/11/2021

Vichwa vya magazeti ya leo November 11/2021

Photos from Smart media's post 09/11/2021

Magazeti ya leo November 09/2021

Photos from Smart media's post 08/11/2021

Kurasa za mbele za Magazeti ya leo November 08/2021

Photos from Smart media's post 07/11/2021

Haya hapa vichwa vya magazeti ya leo November 07/2021

Photos from Smart media's post 04/11/2021

Haya hapa magazeti ya leo November 04/2021

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


ARUSHA
Arusha