Hub Afrika
Hub Afrika is a Tanzanian owned Company that provides, energy and security products and
Hub Afrika
05/05/2026
Karibu
29/04/2026
ILA METHALI NA WAHENGA🤣🤣🤣🤣
Methali : Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Sisi : Usioge maji ya baridi na jua lingalipo
hapa droo
Unaogaje aji ya baridi kisa tu umeme umekatika?
Jitunzie umeme wa ziada kwa kufunga solar panel nyumbani kwako au katika nyumba yako ya wageni wasioge maji ya baridi na jua lingalipo.
Dondosha methali yako kwenye comment tuone Genz wabunifu
28/04/2026
Je una shamba na unahitaji mashine ya kusukuma maji na kuwagilia kwa uhakika?
achana Na mafuta , Tumia solar water pump ni imara na nafuu kwa matumizi ya shamba lako.
Ungepende kufahamu zaidi? Tupigigie kwa simu 0755203073 au tembelea ofisi zetu zilizopo mnara wa mwenge Arusha
27/04/2026
Umekuwa ukipambana na hofu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara? Habari njema ni kuwa hiyo hofu hautakuwa nayo tena k**a ukiamua kuweka umeme wa solar kutoka hub afrika.
Ni wauzaji wa vifaa vya solar na wafungaji wa mifumo thbiti ya umeme wa solar majumbani kwa experience ya miaka zaidi ya 10 .
Tupigie simu leo kupata free quote yako bure
au fika dukani kwetu mnara wa mwenge Arusha.
27/04/2026
Pata battery za kuaminika kutoka kwa muuzaji na msambazaji hub afrika. Battery zetu ni za kuaminika na zenye viwango vya kimataifa .
Nunua kwetu ufurajie ubora wa Lithium batteries
Ubora upo kwetu
26/04/2026
Tunakutakia kheri ya muungano wa Tanzania , na Tunaendelea kukuhamasisha kuendelea kuunganishwa na umeme usiokatika nyumbani kwako.
Kwa mahitaji ya umeme wa solar na Matengenezo ya umeme wa solar na mifumo karibu hubafrika
20/04/2026
Kununua kila kitu sehemu moja ndio mpango mzima , tunakupa kila kitu
Wasiliana Nasi SASA kwa mahitaji ya solar
20/04/2026
Je unatafuta solar zenye Nguvu zaidi zinazofanya kazi hata kwenye uhafifu WA Jua? Na je unahitaji vifaa Bora vya umeme WA solar vyenye uimara?
Karibu hayo yote utayapata
15/04/2026
A place where you can get all of your solar Needs
From tools to installations.
Call us today
08/04/2026
Mahitaji yako yote ya umeme wa solar mali@hub_afrika wauzaji na wafungaji wa vifaa vyote vya umeme wa solar pamoja na kufunga mifumo ya umeme wa solar ulio imara na madhubuti.
hakuna tena kutangatanga kutafuta hiki huku na kingine kule vyote viko hapa , kuanzia kwenye vifaa k**a vile inventor , sola zenye ubora na mafundi wote utawapata hub afrika
karibu sana
#
01/04/2026
Karibu mwezi April, karibu Hub afrika
Bado tunaendelea kutoa huduma iliyo bora ya kufunga mifumo ya umeme wa solar nyumbani , ofisni pamoja na katika miradi mbalimbali k**a vile ya umwagiliaji mashambani.
Uzoefu wetu katika huduma kwa zaidi ya miaka 10 unatupa ujasiri wa kukwambia unaweza kutuamini kwa mfumowowote unaohitaji.
Hub afrika Suluhisho Bora wakati wote
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Pangani Arusha
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 08:00 - 13:00 |