Arusha yetu

Arusha yetu

Share

Habari na matukio ndani ya Arusha na duniani kwa ujumla

23/02/2026

Ajali mbaya imeripotiwa katika eneo la Kwa Idd, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, kufuatia basi la kampuni ya Dar Express kugongana na daladala lililokuwa likisafirisha abiria.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, watu kadhaa wamejeruhiwa, huku baadhi yao wakiwa katika hali mbaya na kuhitaji uangalizi wa haraka wa kitabibu. Magari yote mawili yamepata uharibifu mkubwa, hasa katika sehemu za mbele.
Mamlaka husika zinaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo.

NIFANYE NA MIMI KAKA DICK -01 10/10/2025

https://yetuarusha.blogspot.com/2025/09/nifanye-na-mimi-kaka-dick-01.html?m=0

NIFANYE NA MIMI KAKA DICK -01 CHOMBEZO LA KUSISIMUA: NIFANYE NA MIMI KAKA DICK IMEANDIKWA NA: JUMA HIZA SIMU: 0712988278 _______________ SEHEMU YA 01. Nakumbuka nilikuta...

16/07/2025
07/07/2025

Wana Arusha Wenzangu!
Uchaguzi unakaribia, na sauti yako ni nguvu ya mabadiliko! Hebu tujikumbushe umuhimu wa kushiriki kwa amani na uwajibikaji. Chagua viongozi wanaowakilisha maono yako ya maendeleo ya Arusha – kitovu cha Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Hakikisha umesajiliwa kupiga kura, jifunze kuhusu wagombea, na uwe sehemu ya kujenga mustakabali bora. Pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko chanya!

Instagram post by Vaaafricamodels • May 10, 2017 at 5:23pm UTC 10/05/2017

https://www.instagram.com/p/BT64mx9jH91/

Instagram post by Vaaafricamodels • May 10, 2017 at 5:23pm UTC 47 Likes, 4 Comments - Vaaafricamodels () on Instagram: “LIKE TO VOTE A PICTURE CAN TELL A THOUSAND WORDS. 〰〰〰〰〰 Vote for a picture that you think it is…”

HATUKUPENDA TUWE HIVI-23 04/04/2017

HATUKUPENDA TUWE HIVI-23 http://yetuarusha.blogspot.com/2017/04/hatukupenda-tuwe-hivi-23.html

HATUKUPENDA TUWE HIVI-23 HADITHI, HATUJAPENDA TUWE HIVI, SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU, (23), MTUNZI Deo Young Massawe, MAWASILIANO, 0769297430.                   ...

HATUKUPENDA TUWE HIVI-21 03/04/2017

http://yetuarusha.blogspot.com/2017/04/hatukupenda-tuwe-hivi-21.html

HATUKUPENDA TUWE HIVI-21 HADITHI, HATUJAPENDA TUWE HIVI, SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA,(21), MTUNZI Deo Young Massawe MAWASILIANO, 0769297430.                     ...

HATUKUPENDA TUWE HIVI-19 02/04/2017

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1371854232879141&id=100001637323464

HATUKUPENDA TUWE HIVI-19 HADITHI, HATUJAPENDA TUWE HIVI, SEHEMU YA KUMI NA TISA,(19) MTUNZI, Deo Young Massawe MAWASILIANO 0769297430.          sehemu ya kumi n...

HATUKUPENDA TUWE HIVI-17 01/04/2017

HATUKUPENDA TUWE HIVI-17 http://yetuarusha.blogspot.com/2017/04/hatukupenda-tuwe-hivi-17.html

HATUKUPENDA TUWE HIVI-17 HADITHI, HATUJAPENDA TUWE HIVI, SEHEMU YA KUMI SABA (17), MTUNZI Deo Young Massawe, MAWASILIANO, 0769297430.               sehemu ya ku...

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Arusha