Nilale Wapi Tanzania
The beauty of the sleeping bed is one the most refreshing of your body health, contact us to get hotel, lodge or place that is reasonable to you.
K**a wewe ni msafiri ndani ya Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar)
Bila wasiwasi tutakutafutia Chumba, Nyumba ya kufikia kwa eneo unalokwenda.
Tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu zilizopo kwenye Bio yetu.
Tupo karibu na wewe popote uendapo.
Due to challenges caused by corina virus, we're providing our customers with extra support when you need accommodation services in Tanzania boundaries, where you plan to go for your different activities.
👉🏾 Please contact us for inquiry or more details .
TUNAWATAKIA MWAKA MPYA MWEMA 2021.
Endelea kuchukua tahadhari dhidi ya Covid19.
Bado tunaendelea kuwapa huduma mujarabu ya malazi kulingana na kiwango chako cha fedha kwa aina ya hotel, Lodge, guest house au apartment, kutoka sehemu yoyote ndani ya mipaka ya Tanzania.
Tupe nafasi nqsi tutakutafutia na kukuta mazingira mazuri ya kupumzika.
Hakikisha unawasilishwa nasi ili kupata huduma hii.
Watu wengi wamekuwa wakipata usumbufu wanapokuwa nje na nyumbani k**a kwenye mkoa tofauti na ulipozoea, hilo limepelekea kuwa na mawazo juu ya kupata sehemu ya kupumzika/kulala ili mwili upate afya.
Sisi k**a tupo kukupa ushirikiano mzuri kwa sehemu nzuri utakayohitaji kufikia na itakayoendana na garama zako mkoa wowote ndani ya Tanzania.
Tunakuhudumia ukiwa popote.
KARIBU.
25/05/2020
➡ 🇹🇿 Tumekuletea sehemu yenye malazi unayoweza kupumzika bila hadha na hapa tunakupa nafasi ya kuipa nafsi yako kupata utulivu wakati wa kupimzika.
30/01/2019
➡ Choose the correct place to rest your body and not to sleep.
➡ Chagua sehemu sahihi ya kupumzisha mwili na si kulala.
Call or text us for booking +255757800307
26/01/2019
>>Unapokuwa safarini na unataka kufikia sehemu unayoipendekeza kulingana na garama yako mkoa wowote nchini tuone.
>>When you are on the journey and you want to reach the place where you recommend depending on your cost in Tanzania contact us.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the hotel
Telephone
Website
Address
Mianzini
Arusha
255