KFA Sports
FOOTBALL FACTS TO UNDERSTAND THE INDUSTRY
29/05/2024
Itakuwa biashara nzuri kwa Simba
Klabu ya Supersports United ya Afrika kusini inawania saini ya Mchezaji wa klabu ya Simba SC, Leandre W***y Onana ambaye ni Raia wa Cameroon ili ajiunge nao kuelekea msimu ujao.
Ripoti zinaeleza kuwa tayari mazungumo yamefanyika huku klabu ya Simba SC ikiwa tayari kumuachia lakini lazima biashara ifanyike na wameweka kiasi cha Rand milioni mbili (2) sawa na zaidi ya Shilingi milioni (280) za Kitanzania ili wamuachie Mchezaji huyo waliyempata kutoka katika klabu Rayon Sports ya Rwanda.
Toa maoni yako
23/05/2024
Lucas Paqueta:
Nyota wa West Ham ashtakiwa na FA kwa madai ya kukiuka sheria za kamari
Kiungo huyo raia wa Brazil ambaye amekuwa akihusishwa na tetesi za kuhamia Man City, amekanusha madai hayo na kuahidi kusafisha jina lake.
23/05/2024
🔴⚪️ | Arsenal ready £60m bid for RB Leipzig striker Benjamin Sesko(24), per 🇸🇮 . However the striker should decided where he is staying in Leipzig though Chelsea also interested in RB Leipzig's striker
Football facts worldwide debate 🔥🔥
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha