JDMkono
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JDMkono, Business Supply Service, Arusha.
31/03/2024
Naona K**a huwa tunajisahaulisha hili jambo, iko hivi: 'Katikati kabisa ya furaha na raha ndipo Usaliti huchipua na kustawi ghafla, na mbaya zaidi ni kwamba, Usaliti hautoki kwa adui wala kwa mtu wako wa mbali wala wa karibu kidogo Ila UKWELI ni kwamba, Usaliti hutoka kwa mtu wako wa karibu sana, tena sana kwa hiyo "Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari." Mika 7:5. Pamoja na hayo, kwa wanandoa utii na upendo uendelee k**a inenavyo torati nayo.
NDOA NA SABATO NI TAASISI PACHA " Then marriage and the Sabbath had their origin, twin institutions for the glory of God in the benefit of humanity. Then, as the Creator joined the hands of the holy pair in wedlock, saying, A man shall "leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one," AH 340.4. HATA HIVYO, INASHAURIWA KUTOSHIRIKI TENDO LA NDOA SIKU YA SABATO MAANA SABATO NI SIKU YA BWANA MUNGU WAKO; SIYO YAKO HIVYO KILA MMOJA ANATAKIWA KUWA KARIBU ZAIDI KWA NDOA NA MUUMBAJI WAKE NA SI YA KIDUNIA
IIi upate machozi ya kicheko sharti kwanza upitie machozi ya kilio; yaani kabla ya kucheka hutangulia kuchekwa "Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu." Mithali 15:33 .
28/03/2024
The products are of higher quality and cheap price
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha