Team ViVa Tz.

Team ViVa Tz.

Share

HOP HOP Jicho La Mtaa

24/04/2015

Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo hivyo housegirl/Houseboy wako ulomuacha home naye kashika Remote zote za DSTV, Deki, TV na StarTimes, Kawasha feni kaisogelea, nje kuna taa zinawaka, anampasia nguo Boifrendi wake muuza mkaa, anakunywa maji yako ya Kilimanjaro afu anarudishia ya bombani, maziwa anatumia anaongeza maji, na k**a hujafunga chumba chako, ujue sasa hivi amejilaza kwenye kitanda chako na anajaribisha nguo zako.
Yes we si una fujo za mjini uko online, sasa na wenzio wana fujo za kijijini off-line home kwako. Ngoma Droo kudadeki!=))
😄

Photos 15/03/2015

Brilliant New Music of the Gifted Rapper From H20 MUSIC :
B Gway FT Mesen Selekta : MPERA MPERA
Download link : http://tinyurl.com/nufzgjt

Powered by H20 MUSIC

Photos 13/02/2015

The Release will be Today Friday 13th February 2015 at 3pm
The New Music Video of Mesen Selekta ( Artist of De Fatality Music)
Lets make a History Together,This is Tanzanian Finest , East African Finest and This is The Finest of Africa.
Experience the High Quality and Creativity upon the Sound and Visual Talents from De fatality Music.

Photos 22/01/2015

siku njema wadau

Photos 11/01/2015

Nimeanza kazi na Producer FidelityBeatz toka Sweden na Kazi ya Kwanza inaitwa Super Hero ambayo Nimemshirikisha Johnny Holmgen wa Sweden.. Kazi imeshaanza kuchezwa radio station za huko pia imeshaanza kuchapishwa kupitia magazeti mbali mbali ya Sweden,k**a mojawapo linavyoonekana hapo juu.
I've started working with the best Music Producer from Sweden Fidelity beats and our first output is called SUPER HERO feat JohnnyHolmgen from Sweden. it's already started to be published on Newspapes as the one you see.The work is already out and soon will Provide an official Link.

Photos 03/01/2015

New Music : Team Selekta ft Mesen Selekta - Tamu prod by Mesen selekta http://tinyurl.com/pmzxupe

Photos 22/12/2014

The Return of King of Metaphors Viva Conscious

New video coming soon

Photos 18/12/2014

Rap Diocese and De Fatality Music Presents : Exclusive Music Video : of Bgway () - Vuta Nikuvute (Official Video Directed by ) To watch Check out Link on Profile or Profile
https://www.youtube.com/watch?v=BY12f6S79ig

Photos 13/12/2014

De fatality Music Presents: Usiku wa Mabinti at Club Masai Kinondoni ,Alhamisi Hii Ya Tarehe 18 mwezi Wa 12 Bila kusahau Special performance kutoka () Mesenselekta () | Pam D pam Daffa ( Pameladaffatz)| Baby Madaha | Msaga Sumu | Yakuzamob4ever () | Team Majanga.
Kiingilio Tsh 7,000/= Tu
Sponsored by Ndio Fashion | Mapenzi Classic | Jay Hustler Unique. .Don't Miss The Show.
Poster Created by. Viva Conscious Arts ( )

Photos 07/12/2014

New Music : Mesen Selekta. - Pressure. ..download link on Profile or profile.New Audio : Mesen Selekta - Pressure ( Prod.by Mesen Selekta) http://tinyurl.com/oumjc9z

Photos 05/12/2014
Photos 28/11/2014

Unaanzaje kukosa sasa kwa mfano?

Kosa kubwa kukosa hii..

artwork by mtu mbayaaa viva arts presenting

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha