Tapas Restaurant
Tapas are a wide variety appetizer, or snacks in Spanish cuisine they may be cold or warm, olive oil is an essential ingredient.
07/07/2016
Bonefire at tapas restaurant
06/07/2016
Panavyoonekana usiku
06/07/2016
Tapasafari Restaurant inawatakia sikukuu njema ya eid elfitir.Tapasafari inakukaribisha kusheherekea na sisi kwani imekuandalia chakula na vinywaji kwa ajili yako wewe mteja wetu kwa bei nzuri kabisa.Chakula cha mchana na cha usiku.Karibuni wote.
12/02/2016
Family's & couples dance.
22/01/2016
Enjoy your fruits
02/01/2016
Wateja wa Tapasafari Restaurant wakipata lunch leo tar 02/01/2016.
Tapasafari Restaurant wishing you a happy x~mass
Sikukuu za kufunga mwaka zinakaribia na zimeshaanza.
Tapasafari inakaribisha watu binafsi, vikundi, makampuni ya serikali na ya watu binafsi kuweza kufanya shughuli zao za kufunga mwaka.
Tunaweza kuhudumia wateja kuanzia 1-200 karibuni sana na bei zetu ni nafuu sana.
Chakula na vinywaji vinapatikana kwa kwa bei nzuri.
0787571834.Edward Massae
Karibu Tapasafari Restaurant ipo kanisa road barabara ya kuelekea mahak**a kuu.Kila siku kuanzia jumatatu hadi Ijumaa pata buffet la kiasili kabisa kwa tsh 8000/= plus soda na maji ndogo kwa bei hiyo hiyo.Wajanja wote wa mjini wanakutana hapa kwani ni mahali tulivu sana.Utakuwa hujafurahia siku yako k**a hautapata lunch yako mahali tulivu na pasafi k**a Tapasafari Restaurant. Jitendee haki kwa kuja kila siku.
Karibuni sana
Lunch
K**a kawaida usisumbuke utapata wapi lunch yako.Tapasafari Restaurant inakupatia huduma ya lunch kila siku kuanzia saa 6.30 ~9.00 mchana kuanzia jumatatu mpaka ijumaa.Ni chakula kizuri na kitamu sana jaribu leo ni tsh 8000/= tu.
Pata African buffet kila siku za wiki kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kwa kiasi cha tsh 8000/= tu pamoja na kinywaji kimoja laini.soda/maji ndogo.Karibu sana
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kanisa Road
Arusha