Mr Mea
🎦|| Muted Movies || Action Movies ||Foreign Language Translator to Swahili Language 🤟
Kuna wakati Wanawake wanaweza kuwa Chanzo cha Matatizo kwa Rafiki zatu tunaowapenda.
#
FULL HIGHLIGHTS || Simba vs Al Ahly || AFRICAN FOOTBALL LEAGUE.
11/09/2024
Mchambuzi wa masuala ya Kandanda Osca Oscar Jr akimzungumzia Clement Mzize.
“Huu ni msimu wa tatu tunamshuhudia Mzize. Ni mchezaji mzuri sana, lakini hajawahi kufunga hata mabao 10 ya ligi. Hajawahi kufunga mabao ya kuibeba timu kwenye mazingira magumu na hana mabao mengi yanayokumbukwa na wengi.
Natamani tungeacha mchezo wa kuongeza sifuri. Natamani tungeacha mchezo wa Waingereza. Mzize bado ni mchezaji ambaye kwenye nafasi tano anaweza kufunga bao moja. Bado anakua.
Kuna watu wameanza kumpa jina na la Didier Drogba. Ni vizuri mtu kuwa na ndoto kubwa, lakini ni vizuri zaidi kuwa na ndoto zenye uhalisia. Tuna kijana anaitwa Kelvin John. Ni Mtanzania mwenzetu. Ni kijana wetu na anacheza Ligi Kuu Denmark. Wakati anaanza kuchipukia alipewa jina la Mbappe. Hadi leo hakuna mfanano wowote.”
14/08/2024
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Frederick Ochieng will spend the new campaign on a season-long loan at Shabana FC .
Ochieng joined Kakamega Homeboys at the start of last season from Vihiga Bullets.
best wishes Fred! 👊
14/08/2024
🚨 Simba Queens squad which will travel to Ethiopia for CAF Women champions League CECAFA zone Qualifiers 2024. 🇹🇿
14/08/2024
Vital'o Fc jessey looks Good.
14/08/2024
🚨 Adolf Mtasingwa signed new contract till 2027 at Azam Fc 🇹🇿⭐.
14/08/2024
🚨 New Js Kabilye Football Club Signings Walter Bwalya and Sadio Kanoute continue with training ahead of next season. 🇲🇱
14/08/2024
🚨USM ALGER unveil their new home Kit ahead of next season. 👏🇩🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha