Kamjengo Design
Complete House Solutions Across East Africa.
+255 711 404 040(Call/WhatsApp)
www.kamjengo.com
07/06/2025
Kamjengo inawatakia Eid al-Adha yenye baraka, amani, na furaha tele! 🌙
Endelea kufurahia huduma na bidhaa zetu kupitia tovuti yetu: www.kamjengo.com
24/05/2025
The Tochi Lamp — our newest custom piece from Kamjengo Vintage Vol. 01 — is now available!
Inspired by the legacy of African torches and reimagined for modern spaces.
Explore and purchase at: www.kamjengo.com
10/05/2025
Mtaalam wetu wa graphics amepata udhuru leo, Tunaomba radhi kwa yaliyojitokeza
Tufuatilie hapa www.kamjengo.com
20/04/2025
Tunakutakia furaha, baraka na mafanikio kwako na familia yako, tukisherekea jumapili ya pasaka. Amani na upendo utawale ndani ya mioyo yetu.
14/03/2025
WanaKamjengo! Tuishi hapa.
14/02/2025
K**a anakupenda kweli mwambie akujengee Kamjengo flani hivi tuone.😍
Wasiliana nasi kwa huduma za Ramani za Majengo na Ujenzi.
📞 +255 711 404 040
🌐 Kamjengo.com
29/01/2025
Chemsha bongo: Angalia kwa makini, Panga picha hizi kwa usahihi.
29/01/2025
Je, unaweza kutunga sentensi kwa kutumia emoji hizi? ❤️🏡
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Arusha