Tanfoam Limited
Tanfoam Limited is in the business of manufacturing and marketing of Quality Mattresses & allied Soft home textile products in the East African region.
Chunga madeni yasikukoseshe vitu vizuri k**a magodoro bora kutoka Tanfoam.
27/05/2026
Kutokana na mamombi mengi tuliyoyapokea kutoka kwa wateja wetu, ofa yetu ya msimu huu wa Eid inaendelea, endelea kufurahia punguzo la hadi 20% unaponunua bidhaa za Tanfoam kwenye maduka yetu mpaka tarehe 31,swipe kujua duka lililo karibu nawe.
Eid Mubarak!
27/05/2026
Usiku wenye utulivu, siku yenye baraka
Katika kipindi hiki cha Eid, hakikisha mwili wako unapumzika kwenye ubora unaoaminika kutoka Tanfoam. Usingizi wa bora ni sehemu ya maisha ya bora. Eid Mubarak from us to you.
26/05/2026
Tulitaka kutoa hii ilani jana juu ya usingizi mzito,wa uhakika na wa kipekee unaopatikana kwenye magodoro yetu ya Tanfoam, ila tukaona leo inafaa zaidi, ila chunga,keshokutwa kazini.Lala kwa uhakika, lalia Tanfoam.
21/05/2026
K**a usiku wenu unaanza k**a slide ya kwanza na kuishia k**a ya pili, usikubali blanket liwatenganishe...swipe mpaka slide ya tatu tuwajenge na Funikety.
Tanfopremium, fahari na starehe ndani ya godoro moja.
19/05/2026
Siku ndefu kazini?usiwaze...suluhisho lako ni moja tu...usingizi bora na wa uhakika ambao unapatikana kwa kulalia godoro sahihi kutoka Tanfoam. unangoja nini?
Zima kelele zote unapolala kisha amka ukiwa fresh kupigania shughuli zako. Lo**ta kutoka Tanfoam..mfalme pekee wa magodoro ya spring.
16/05/2026
Punguzo!!!Punguzo!!!Punguzo!!!
Furahia kujipatia bidhaa zetu zote kwa punguzo la mpaka 20% kwenye maduka yote ya Tanfoam kuanzia tarehe 18 mpaka sikukuu ya Eid. Swipe 👉🏿 ama njoo DM ili upate kujua duka letu lililopo karibu nawe.
Godoro bora na uhakika la spring ni moja pekee, Lo**ta, lililotengenezwa kipekee kukupa raha ya muda mrefu.
Kuna tofauti kati ya kulala na kulala vizuri, unapolalia godoro la uhakika kutoka Tanfoam,unastahili ubora uleule unapojifunika. Fika kwenye duka letu lililopo karibu nawe, au kwa mawakala kote nchini, kwa urahisi zaidi njoo DM ulizia Funiketi kisha upgrade usingizi wako kwa blanketi letu la kisasa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
13092
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 18:00 |
| Saturday | 08:00 - 13:00 |