Master A
KARIBUNI KWA MATANGAZO BEI YETU NI NAFUU SANA
WHATSAPP NAMBA +255756669350 GOD FIRST
10/07/2026
KWAHERI SADIO AFRICA MANE:
Sadio ManΓ© ametangaza kustaafu soka la kimataifa akiwa na timu ya taifa ya Senegal, kufuatia timu hiyo kuondolewa katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2026,
Anahitimisha safari ya kuitumikia timu yake ya Taifa akiwa amehudumu kwa miaka 14
β’ Akiwa ndiye mfungaji bora wa muda wote wa nchi yake,
β’ Amecheza mechi 132,
β’ Amefunga magoli 55,
Ataendelea kucheza soka katika ngazi ya klabu na kwa sasa yupo anakiwasha ligi ya Saudia Arabia akiwa na timu ya Al-Nassr.
10/07/2026
Karibu Young Africans SC Kocha Mkuu MANQOBA MNGQITHI
πππππππππ ππ πππππ°
Wananchi
Dj ZIIIIIIMBWE
Dube amewaaga Young Africans Sports Club
Pacome awapa salamu mashabiki wa Young Africans Sports Club
Young Africans Sports Club
30/06/2026
πππππππππππ°
ππ°
30/06/2026
Yanga bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2025/26: Hii ni kwa mara ya tano mfululizo.
Hii ni baada ya kushinda mchezo huu na kufikisha alama 75, juu ya timu zote zinazoshiriki ligi hii.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Kilala
Arusha