CCM Dijitali - Blog
Karibu katika hii Globu ya jamii kwa habari mbali mbali na matukio, Kitaifa na Kimataifa. Unakaribishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu.
โWenye watoto wapewa kipaumbele kuingia kwa Mkapa โMwananchi Dayโ
(tazama hapa: https://www.instagram.com/p/C-PqykTNny7/).
Leo Klabu ya Yanga inaadhimisha Siku ya Mwananchi ambayo ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi chao kuelekea msimu wa 2024/25, Mwananchi itaendelea kutoa taarifa za tamasha hilo kwa weledi na kuzingatia misingi ya uandishi wa habari.
Mhariri
๐
๐คฃ
"๐๐ช๐ฎ๐ฆ๐ง๐ถ๐ณ๐ข๐ฉ๐ช ๐ฌ๐ธ๐ข ๐ฎ๐ข๐ฑ๐ฐ๐ฌ๐ฆ๐ป๐ช ๐ฎ๐ข๐ป๐ถ๐ณ๐ช, ๐ญ๐ข๐ฌ๐ช๐ฏ๐ช ๐ฏ๐ช๐ฎ๐ฆ๐ง๐ถ๐ณ๐ข๐ฉ๐ช ๐ป๐ข๐ช๐ฅ๐ช ๐ฌ๐ถ๐ฌ๐ถ๐ต๐ข ๐ค๐ฉ๐ข๐ฎ๐ข ๐ณ๐ข๐ง๐ช๐ฌ๐ช (๐๐๐๐๐๐๐) ๐ฌ๐ช๐ฎ๐ฆ๐ฏ๐ช๐ธ๐ฆ๐ฌ๐ฆ๐ข ๐ฃ๐ฆ๐ฏ๐ฅ๐ฆ๐ณ๐ข ๐ฎ๐ฑ๐บ๐ข ๐ช๐ฏ๐ข๐ฑ๐ฆ๐ฑ๐ฆ๐ข ๐ฉ๐ช๐ท๐ช, ๐ช๐ฏ๐ข๐ฏ๐ช๐ข๐ฎ๐ฃ๐ช๐ข ๐๐ข๐ช๐ด ๐ธ๐ฆ๐ต๐ถ ๐ฌ๐ข๐ณ๐ช๐ฃ๐ถ".
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na mapokezi aliyopewa na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati wa ziara yake ya uzinduzi wa miradi mbali mbali Agosti 4 Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Akizungumza na wananchi wa Mikumi wakati wa uzinduzi wa daraja la Ruaha na barabara ya Kidatu- Ifakara Rais Samia amesema, "Nimefurahi kwa mapokezi mazuri, lakini nimefurahi zaidi kukuta chama rafiki (CHADEMA) kimeniwekea bendera mpya inapepea hivi, inaniambia Rais wetu karibu".
.ilala
12/07/2024
BARAZA LA WAZEE WA CCM ARUSHA WACHARUKA KUHUSU MAKONDA
https://www.instagram.com/reel/C9VXQQONdjw/?igsh=MXNyMmk3cDRwM3hiag==
05/06/2024
https://instagram.com/p/C71K9F_NcbR/
MAHAFALI YA TATU YA BODI YA USAJILI WA WATHAMINI @wizara_ya_ardhi
15/01/2024
๐๐ MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA - ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mapema Leo Tarehe 15 Januari 2024, Visiwani Zanzibar.
๐Zanzibar
๐๏ธ 15 Januari, 2024
15/01/2024
๐๐ MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. SAMIA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ataongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa.
Kikao hicho kitafanyika tarehe 15 Januari, 2024 Kisiwani Zanzibar.
14/01/2024
RAIS DKT.MWINYI AFUNGA MAFUNZO YA WANEC
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefunga semina ya mafunzo ya Uongozi ya siku mbili kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan ,
๐ Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja
๐ 14 Januari 2024.
14/01/2024
RAIS DKT.MWINYI KATIKA FAINALI ZA MAPINDUZI CUP 2024
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi Mgeni rasmi katika fainali za Mapinduzi Cup 2024 uwanja wa Amaan Complex tarehe: 13 Januari 2024.
Timu ya Mlandege ya Zanzibar iliibuka mabingwa wa Kombe la Mapinduzi mwaka huu baada ya kuilaza Simba 1-0.
Aidha Rais Dkt.Mwinyi amewakabidhi kombe timu ya Mlandege ya Zanzibar na hundi ya shilingi milioni 100 iliyoibuka na ushindi dhidi ya Simba.
Mshindi wa pili timu ya Simba imekabidhiwa shilingi milioni 70.
Vilevile zawadi mbalimbali zimekabidhiwa.
Viongozi mbalimbali wa SMT, SMZ, Taasisi binafsi , Vyama vya siasa, wananchi wameshuhudia fainali hiyo.
13/01/2024
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.
Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
13/01/2024
๐๐ MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBAR
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.
Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Siku Mbili ikiwa na Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Arusha