P-Simple Software and Videos
We deals with operating systems,antivirus, and all basic software. we offer installation and selling it at affordable prices.
31/03/2019
Pata hdd za ukubwa tofauti..
31/03/2019
Movie kali na za uhakika... Tupigie kwa +255765741591.
Kwa matatizo mbalimbali ya computer, uhitaji wa program yoyote ile comment katika post hii tutakupa ufumbuzi hapa hapa. Au piga simu +255765741591.
Kuwa maskini au tajiri ni uamuzi wako. Wala usimlaumu mtu kwa wewe kuamua kubakia kuwa masikini. Hii ni kwa sababu fursa za kijana kujikwamua zipo nyingi sana. Vinaja wengi wanaamini kuwa tajiri unalala unaamka na mamilioni. Sio kweli kuwa na milioni kunaanza na sh 1. Na milioni moja ukitoa moja haitakuwa milioni tena. K**a kijana jifunze kuithamini na kuitunza kila sh 1 uipatayo. Kisha iwekeze iyo sh 1 kupata sh 2.
Tumia internet download manager (IDM) Kukamilisha kudownload kila ukitakacho kutoka mtandao wowote ule. Kupata idm ambayo ni full registerd pamoja na namna kuifanyia integration katika browser na kunufaika nayo tupigie au tutumie sms kwenye namba 0765741591.
Tarehe 28 mwezi huu tunatoa key za antivirus mbili. Unaweza kuchagua moja iwe ya computer au simu au tablet. Unachotakiwa kufanya ili kushiriki: 1. comment aina antivirus unayoitaka. 2. Share page hii katika wall yako (hakikisha umelike hii page) 3. Atake share na watu wengi zaidi ndio mshindi na tutampa key za antivirus aliyocomment.
Pata KEYS za antivirus mbalimbali k**a NOD32, ESET, TOTAL SECURITY, BIT DEFENDER, AVG, AVASTE nk. Kwa bei nafuu kabisa. Unaweza kuchagua keys za mwezi 1, miezi 2, 3 hadi miaka 2. Tupigie au tuma sms +255765741591
Karibu katika mwaka mpya wa 2016. P-simple inakukaribisha wewe kijana mwenye malengo ya kuwa na biashara yako ya studio kwa maana ya duka au kibanda cha kuweka nyimbo na movie ili upate mwongozo sahihi na kufikia mafanikio. Tupigie 0765741591.
19/10/2015
Tunawakaribisha wote wenye wazo/mawzo yakuwa na studio (duka la kutoa huduma za movie na nyimbo k**a kuuza cd, dvd, kuweka kwenye memory cards, ipod, flash, external harddisks n.k) kuwa tunatoa huduma ya ushauri, uwekaji wa software zote kwa ajili ya kuanza biashara, movies, seasons, yimbo, pictures, n.k. kwa gharama nafuu kabisa. Pia tutakushauri tekniki za kibiashara ilikufikia mafanikio mazuri. Tuma sms au piga namba hizi kwamaelezo zaidi +255-765-741-591
Nashukuru sana kwa like yako. Ni sapoti kubwa sana kwangu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
ARUSHA-MIANZINI
Arusha
3081