House Of Prayer Ministries Int
•House Of Prayer Tz | Nyumba Ya Maombi Tz
•Healing | Restoration
•Vision | To build the Church of the Lord
•To Winning People's Souls For Christ
19/08/2026
📍Jumapili hii || This Sunday || Moshi-Kilimanjaro || Saa Mbili na nusu Asubuhi.
|| ゚ House Of Prayer Ministries Int
22/07/2026
❗️SKELETON DRAY SPIRIT ❗️
(ROHO YA MIFUPA MIKAVU)
Shaloom...
Malaika Bwana Yule Mkuu Raphael alitumwa upesi kwangu (Kuniambia Kuhusu Roho hii niliyoiona ikitenda kazi Duniani na kwa wana wa Mungu)
(Ufunuo wa Yohana 2:29)
29.Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.
He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches.
⚡️AKANIAMBIA NA KUSEMA.
-Hii ni roho ya UDINI iliyok**ata Wana wa Mungu Weeengii Duniani hasa mwili wa Kristo.
⚡️INAVYOFANYA KAZI⚡️
1)Inaleta Udumavu na kuto kumjua Mungu wa kweli.
2)Hiyo roho imewafunga watu wengi duniani kwa minyororo mizito sana isiyoweza kubebeka
3)Hiyo roho inaitwa ROHO YA MIFUPA MIKAVU.
●Ukiwa mifupa huwezi kufanya chochote kwa sababu umedumaa
●Watu wengi wamek**atwa na hiyo roho
-Malaika wa Bwana Raphael akaongea na kusema Apostle Nina hasira sana maana ninaona Wanadamu wengi wamewekewa Ugonjwa wa Udhaifu,wameondolewa uthamani na HII ROHO YA MIFUPA MIKAVU.
-Wale wanaodhoofu ni wale wanaovamiwa na roho ya mifupa mikavu.
-Watu wanaishi lakini wamekuwa wafu wanaotembea.
⚡️MALAIKA WA BWANA RAPHAEL AKAENDELEA KUONGEA NA KUSEMA⚡️
-Hawalii ngano nono bali wanakula makapi maana unono umeondolewa.
⚡️AKANIAMBIA WAAMBIE WATU HIVI..
-Ili kuishinda hiyo roho Wanatakiwa kupanda Mbegu (SADAKA) ya namba Saba [Yaani Elfu 7 au Elfu 70 au Laki 7 au Milioni 7] na KUSHIRIKI MEZA YA BWANA,Ndipo Hii hali iliyoletwa na ROHO YA MIFUPA MIKAVU itawaachilia.
N:B.KESHO ALHAMISI-Tunaanza kushughulika na Roho Ya Mifupa Mikavu KATIKA MAOMBI YA MALANGO na tutahitimisha Jumamisi KWAKUTOA MBENGU NA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA K**A TULIVYOPEWA MAELEKEZO KUTOKA KWA BWANA.
⚡️KWA WALE WALIOKO MBALI⚡️
Tuma Mbegu Yako kwa Namba ya M-Pesa 0743010082 || Au Bank Ya CRDB 0152330877000 || JINA NI EMMANUEL MALISA
House Of Prayer Ministries Int
Apostle Emmanuel Malisa || Moshi-Kilimanjaro.
16/07/2026
❗️BAAR LAN || ROCK SPIRIT MAN || ROHO JABALI.❗️
Baar Lan.
Hii spirit ni jiwe kubwa hujawai ona.
Hii ikikuvamia kwanza unakua na moyo mgumu
-Uchumi unakua mgumu
-Mahusiano yanakua magumu.
-Kuomba kunakua kugumu kutokana na hyo roho.
-Maombi yake ukijichanganya ukasema nakukaushaa...ni k**a umempiga chura teke unamwongezea mwendo.
⚡️MALAIKA RAPHAEL AKANIAMBIA NA KUSEMA
⚡️Huyu jiwe mtu⚡️
⚡️Namna ya Kumwangamiza ni Kumpasua Vipande Vipande na Kumsaga.⚡️
⚡️NDIPO ROHO WA BWANA AKANIAMBIA SOMA MAANA IMEANDIKWA KATIKA..
(Isaya 49:24-26)
24.Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka?
Shall the prey be taken from the mighty, or the lawful captive delivered?
25.Naam, BWANA asema hivi, Hata jeshi la wafungwa wake aliye hodari watapokonywa mikononi mwake, na mateka yake aliye jabari wataokoka; kwa maana nitateta na yeye atetaye nawe, nami nitawaletea wana wako wokovu.
But thus saith the LORD, Even the captives of the mighty shall be taken away, and the prey of the terrible shall be delivered: for I will contend with him that contendeth with thee, and I will save thy children.
26.Na hao wanaokuonea nitawalisha nyama yao wenyewe, nao watalewa kwa kuinywa damu yao wenyewe, k**a kwa mvinyo mpya; na wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, BWANA, ni mwokozi wako, na Mkombozi wako ni Mwenye enzi wa Yakobo.
And I will feed them that oppress thee with their own flesh; and they shall be drunken with their own blood, as with sweet wine: and all flesh shall know that I the LORD am thy Saviour and thy Redeemer, the mighty One of Jacob.
❗️WATU WA MUNGU TUNAENDELEA NA MAOMBI YA MALANGO YA SIKU 34 ❗️
HOUSE OF PRAYER MINISTRIES INT
Apostle Emmanuel Malisa
📞0743 010 082 || Moshi-Kilimanjaro
05/06/2026
📍Jumapili hii | Moshi - Kilimanjaro
18/05/2026
📍Ibada ya Shukrani tunapohitimisha Mfungo wa siku 14 ni kesho saa kumi jioni.Andaa Sadaka yako ya Shukurani. 📍
06/05/2026
❗️TANGAZO MUHIMU❗️
SIKU 14 ZA UTUKUFU
(Kufunga & Kuomba)
14 DAYS OF GLORY
(Fasting & Prayer)
KILA SIKU JIONI SAA KUMI TUNAKUTANA MADHABAHUNI
Ni dharura kwa Agizo la Bwana.
Ni siku za Kumkaribia Bwana zaidi kwa Maombi ya Kumaanisha pamoja na kutoa sadaka kila siku.
TUNAOMBEA
1)Wewe
2)Familia yako na kila kitu kuhusu wewe.
MAELEKEZO MENGINE TUTAKUWA TUNAPEWA MADHABAHUNI KILA SIKU.
N:B.KUMBUKA NI MAOMBI YA KUMAANISHA SANA NA HAKIKISHA HUKOSI.
House Of Prayer Ministries Int
Moshi - Kilimanjaro | Nyuma Ya Sekondari Ya Kiboriloni.
📞+255 743 010 082
30/04/2026
Live Youtube | Leo Alhamisi | Saa Kumi na nusu Jioni.
14/04/2026
📍This Sunday || It's time to Shine🔥🔥
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
23101