Mchakato Smart Academy
KIJANA USIANZE BIASHARA K**A HAUJAJIANDAA KIAKILI.KARIBU UJIFUNZE BIASHARA YENYE FAIDA NZURI KWA SASA
12/05/2026
SWIPE KUPATA DONDOO ZAIDI👈
Naamini hili somo litakuongezea kitu juu ya yale uliyonayo.
K**a unao mtaji na bado haujajua ufanye biashara gani itayokuingizia kipato endelevu tafadhari tuma ujumbe neno BIASHARA kwenye DM Upate mwongozo.
11/05/2026
Naamini kuna jambo mojawapo limekujenga🔥💪
Naamini kupitia hili somo umeelewa nguvu iliyopo kwenye Collaboration, speed ya mafanikio kupitia Network uliyonayo, Pia nguvu ya upendo mnapoamua kushirikiana kimaendeleo.
Kwa mwongozo zaidi wa kibiashara tuma ujumbe neno NETWORK kwenye Comment au DM
Ndugu mtangazaji aliyenishikia mike amesinzia akiwa kazini vipi tumlipe au tusimlipe😂🙌
Nafanya business Mentorship kwa vijana wengi. Wengi wanajilaumu kwa nini hawakuutumia muda wa ziada kujifunza kwa vitendo au kuanza biashara kipindi wakiwa vyuoni.
Na kuna baadhi ya vijana wengine tayari wameshapata ajira lakini bado wanajiona hawakujitendea haki kutoanza biashara yaani kumiliki kitu chao binafsi tangu wakiwa chuo kwani wameona uhalisia wa mshahara na mambo yalivyo kwenye gharama za maisha.
Sasa week hii inayoanza Nimeandaa session maalum ya Maarifa ya Biashara na strategies mpya kwa ajili yako tuma ujumbe neno BIASHARA kwenye DM nitakupatia mwongozo
08/05/2026
USIOGOPE KUANZA kwani Mguu wa kutoka sio sawa na mguu wa kubaki ndani,,,,
Share na Save hii post itausaidia mbele ya safari
03/05/2026
2nd day in ARUSHA, Let's link up🔥🔥🔥💪
Call 0750504868
NIPO ARUSHA NOW kuhakikisha nawatumikia wananchi wa Arusha weekend hii. K**a upo Arusha na ungependa kushiriki kwenye Business session zangu. Tafadhali nicheck kupitia 0750504868
02/05/2026
THANK YOU DODOMA for having me. Nilikuwa na wakati mzuri sana ku-train business na kushare uzoefu wangu wa kibiashara kwa vijana wa Dodoma.
Kituo kinachofuata ni ARUSHA this weekend 🔥💪
25/04/2026
K**A UPO DODOMA NA UNAPENDA KUJIFUNZA BIASHARA KUTOKA KWA WATU WENYE UZOEFU, HII SESSION SIO YA KUKOSA
NIPIGIE SIMU 0750504868
Na wote ambao mmenicheck tayari nawakumbusha kuwahi LEO SAA 9 ALASIRI sharp semina yetu itaanza.
Mawasiliano:0750504868
Usikose KUJITAMBUA kwani Ukijitambua mapema ndoto zako, Malengo yako, na thamani yako utaepuka kupoteza muda na utaanza kufanya maamuzi sahihi mapema.
Usikose kuutambua ukuu na Neema ya M/Mungu kwenye mapambano yako. Mafanikio ya aina yoyote tunayoyapata kwenye ulimwengu wa mwili huwa yanaanzia kwenye ulimwengu wa roho. Sio kwa Kujitambua kwetu.
K**a upo MOROGORO nakukaribisha kwenye Semina ya Biashara tutayoifanya MIDLAND HOTEL jumamosi hii ya tarehe 18,
Kwa Mwongozo nipigie 0750504868 sasa hivi.
11/04/2026
Ongezea kauli zingine za wateja hapo kwenye Comment ambazo ukizisikia unajua kabisa Leo leo leo kaziii ipoooo😂😂
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Mwananyamala A
Arusha