Blessing boy

Blessing boy

Share

mastory Burudani Injili memes habari za michezo na burudani
na huduma ya matangazo inapatikana karibu DM

29/04/2026

Mwaga moto kwa mnyama

23/04/2026

Mwanasimba huwezi pita bila halla 5 kwa mpanzu

22/04/2026

Wanasimba show love kwa Elie.

20/04/2026

Weka page tukufollow now

14/04/2026

Lin nitapata wangu??nimechoka kulia naomba unifollow unipe namba yako.

12/04/2026

Usiku mwema

12/04/2026

Mwanasimba hawezi pita bila kilike .show love

11/04/2026

Weka page yako tukufollow uanze kulipwa na meta

11/04/2026

Chombo cha anga cha Marekani (Orion) kinapofika karibu na Dunia, hakishuki taratibu.

‎Kinaingia kwa kasi ya takriban 40,000 km/saa kasi ambayo akili ya kawaida haijaizoea.

‎Hebu tuiweke hii kwenye picha halisi:

‎Ndege ya abiria husafiri kwa 900 km/saa, hivyo;

‎Dar → Dodoma
‎Ndege: Saa 1
‎Dar → Dubai
‎Ndege: Masaa 5–6
‎Dar → Africa Kusini
‎Ndege: Masaa 3–4
‎Dar → New York
‎Ndege ya abiria: Masaa 15–18

‎Chombo cha anga (Orion) kinasafiri kwa kasi ya 40,000 km/saa: Hivyo;

‎Dar → Dodoma: chini ya dakika 1 (sekunde 40-50)
‎Dar → Dubai: karibu dakika 5–6
‎Dar → Africa Kusini: Dakika 4–5
‎Dar → New York, Marekani: chini ya dakika 20

‎Ndiyo tofauti ya kusafiri ndani ya Dunia, na kurudi kutoka anga za mbali.

‎KINACHOTOKEA KWENYE ANGA
‎Orion inapogusa anga la Dunia, haimaanishi imekutana na hewa laini bali ni k**a ukuta usioonekana.

‎Hewa inabanwa kwa nguvu, na joto linapanda hadi karibu 2,700°C.

‎Chombo kinaonekana k**a kimondo kinachowaka.

‎Ndani, wanaanga wanasukumwa chini kwa nguvu ya hadi 4G (4G maana yake mwili wako unahisi uzito mara 4 zaidi ya kawaida, k**a una wa kilo 70 utajihisi k**a kilo 280, hata kichwa kinakuwa kigumu kuinua)

‎USAHIHI WA HALI YA JUU UNAHITAJIKA

‎Sio kuingia tu duniani, ni kuingia kwa usahihi mkubwa.

‎Pembe/angle ya kuingia ikiwa ndogo sana, chombo kinaweza kuruka na kurudi angani kikapotea.

‎Ikiwa kubwa sana, joto na G-force vinaongezeka na kuwa hatari.

‎Hapa hakuna kubahatisha, tofauti ndogo tu ya angle inaweza kubadilisha kila kitu.

‎Na yote haya yanatokea ndani ya takriban dakika 10 hadi 20 tu, dakika chache, lakini ndizo zenye kuamua k**a safari inamalizika salama au la.

‎MWISHO WA SAFARI
‎Kutoka kasi ya 40,000 km/saa
‎hadi chini ya 30 km/saa ndani ya dakika chache.

‎Parachuti zinafunguka.
‎Kelele zinapotea.

‎Bahari inapokea chombo taratibu.

‎Imeandikwa na Jonalist

10/04/2026

Good morning

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha