Peter Spirit
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Peter Spirit, Musician, Musician, Song Writer and Actor from East Africa, Media Personality, Journalist @sunriseradiotz 94. 9 Fm Arusha, Producer/Editor of Entertainment Program, Arusha.
15/03/2026
Today is My Birthday 🎉
I am truly grateful to God for the gift of life, good health, and another beautiful year added to my journey.
Thank you to everyone who supports, loves, and cares for me. I appreciate you all more than words can say.
Happy Birthday to me! 🎂🙏
07/02/2026
Asante mwanangu kwa kuja Arusha kunitembelea ilikua moment poa sana.
Usikose kusikiliza kipindi cha Tanzanite Fleva ndani ya Savvy Fm 105.3 kuanzia mida ya saa 7 mchana hadi saa 10 jioni. Kwenye Exlusive Interview nipo na wanangu na wasanii wanaofanya poa sana.
Cc
05/01/2026
Happy Birthday 🎂 🥳 🎉 My Lovely Daughter ,ukaongezeke maradufu katika maisha yako na mafanikio yako, mimi baba yako nakupenda sana.
08/12/2025
SIO MUHIMU LAKINI KATIKA MAISHA YANGU YOTE YA DUNIANI SIJAWAHI KULA BAGA WALA PIZZA 🍕 😆🙃
VIPI ULISHAWAHI KULA HIZO VITU?
17/02/2025
FAMILY 👪💝
10/01/2025
🥰
02/01/2025
Nina mengi ya kusema na kuandika lakini yote hayo hayatoshi kwa mengi uliyonitendea mama yangu, cha muhimu nakuombea uendelee kuishi maisha marefu zaidi, HAPPY BELATED BIRTHDAY MAMA WE LOVE YOU ❤️
09/12/2024
Live Long Life mwanangu wa faida najua vile unakubali muziki wangu na umekua shabiki yangu mkubwa sana, ishi sana mamen.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Musician, Song Writer And Actor From East Africa, Media Personality, Journalist @sunriseradiotz 94. 9 Fm Arusha, Producer/Editor Of Entertainment Program
Arusha
INGODITRUST