A.Y
For Booking Shows please contact us through this Email: [email protected]
04/06/2026
Na Kaka yangu since day one KING GK SHATTA..
Siku hiyo itakuwa JIWE JUU YA JIWE…
01/06/2026
Dodoma what’s goood…..
28/05/2026
Leo nimekukumbuka sana Albert…Mwenyezi Mungu aendelee kukupumzisha Mahali Pema Peponi 🕊️
Kuna watu wanahitimu na degree… lakini kuna watu wanahitimu wakiwa wamebeba story za uthubutu na sacrifice. I’m proud of you my cuzin brother umenikumbusha kwamba mafanikio ya kweli sio kutokupitia changamoto, bali ni kuendelea kusimama hata wakati maisha yanakupiga. Najua sio bahati wewe kufika hapo bali ni COURAGE,FAITH & CONSISTENCY uliyo nayo. Proud sana kuona ndoto yako ikigeuka reality. 👏🏾🎓.. Nakuja k**a mzee Mpili “NINA WATU’ 😀😀😀😀
25/05/2026
Ulikuwa wakati mzuri na
Dope One Lyrics 💯 Vibez ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️🔥🔥🔥
DANGER ⛔️☢️⚠️ - Featuring FRIENDS ..Wataalamu wameamua kuingia booth na kuamsha MIENGE 🔥🔥🔥🔥 Mheshimiwa hapo ameshukuru sana sijaingia 😁😁😁 Ila uwezo wake bado ni MKUBWA SANA pamoja na majukumu mengi🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 TUKUTANE MLIMANI CITY 10.07.2026 kwenye SHOW YA KIHISTORIA⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Website
Address
Simeon Road PO Box 1184
Arusha