RoseLishe
Tunatoa huduma ya unga lishe kwa bei nafuu
18/06/2023
Unga lishe huu husaidia kuhimarisha kinga ya mwili na pia huongeza virutubisho muhimu k**a vile vitamin( K,B,A) potassium na pia husaidia kuongeza hamu ya kula bila kusahau husaidia kuhimarisha ubongo. Unga huu unaweza tumika na watu wa rika zote na hasa watoto kwanzia miezu sita na kuendelea.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0754490956
Want your business to be the top-listed Grocery Store in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha, Tanzania, 7342
Arusha
23111