PCASF Family
π€ Pentecostal Christ Ambassadors student Fellowship
π€ Join us for Praise and worship, Word of God
09/01/2024
Kwa Neema ya Mungu PCASF fellowship tumeandaaa semina maalumu Kwa ajili ya vijana wa k**e na kiume yenye kusudi la kutambua nguvu ya kusubiri katika kila kusudi la Mungu, semina hiyo itakayofanyika jumamosi hii katika Chuo cha Uhasibu
Usipange kukosa mtu wa Mungu, mualike jirani yako na jirani yako amualike jirani yake tupate maarifa haya Kwa pamoja........
iaa_oficial
#
28/12/2023
Kwa neema ya mungu fellowship ya pcasf kushirikiana na Wana maombi wameandaa mkesha maalumu WA maombi ya kufunga na kuomba siku ya ijumaaa unaoambatana na mfungo WA masaa 24,
Usipange kukosa mtumishi WA mungu
Mathayo 26:41, yoeli 2:12
01/12/2023
What a wonderful service we had on Wednesday π₯π₯
Let's meet again next week and don plan to miss again....π
20/11/2023
PCASF FAMILY LOVE
time
love moments
# never loss your family when you're in higher level welcome to ARUSHA PCASF FAMILY LOVE β€οΈβ€οΈ WE SHARE THE REALLY LOVE OF GOD IN US.
14/11/2023
Geat ready for recharge β‘β‘β‘π₯π₯π₯ tour recharge
For All Nation (CFN) With
@ Apostle Richard Fullwood
@ PCASF Praise team
@ PCASF FAMILY LOVE
@ Institute of Acountancy of Arusha IAA PLAN TO BE THERE FOR RECHARGE by the HOLY SPIRIT POWER and you will be blessed massively. WOTE MNA KARIBISHWA SANA SANAπ
08/07/2023
Weekly schedule
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Institute Of Accountancy Arusha, LT 2
Arusha
Opening Hours
| Wednesday | 19:30 - 21:45 |
| Friday | 19:30 - 21:45 |
| Sunday | 19:30 - 21:45 |