Griffon College
Tunatoa kozi za mwaka mmoja na za miezi 6
15/11/2022
Hii ni nafasi ya kipekee tusikubali itupite.
29/05/2022
Wataalam wa hotel na tour operation Arusha, usihangaike sanaa kutafuta wabobezi wa kufundisha masomo ya hotel na Tour operation.
Griffon College ndo mpango mzima.
Njoo tusemezane, njoo tujifunze sote.
Koz za miezi 6 na za mwaka mmoja.
1.TOUR OPERATION
2. HOTEL OPERATION
3. ENGLISH COURSE
4. ENTREPRENEURSHIP
09/04/2022
Elimu bora huanzia kwa wawezeshaji . Muhula unaanza rasmi tr 25 April 2022 kukiwa na punguzo la gharama ya Ada kwa asilimia 20 kwa kila mwezi nadani ya mwaka mmoja, hii ni ofa ya pasaka na mwezi mtukufu.
Masomo yenye punguzo la ada ni
1. Tour Operation
2. Hotel Operation.
Ofa hii itahusu watu 10 tu watakaoweka booking kabla ya tr 25.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi 0683898008/ 0752248032
Tupo Arusha mjini.
03/04/2022
Muhula wa April 2022 unanza tr 19.
Njoo tuanze muhula upate elimu ya ujuzi. Ada ni nafuu sn na malipo ni kwa awamu 4. Tunatoa kozi zifuatazo:
1. Hotel Management
2. Tour operation
3. Tour guide4. English course
Wasiliana nasi kwa:
0752 248032
0683 898008
0628 554565
Tupo Arusha mjini.
26/02/2022
TUNAENDELEA NA MASOMO NA USAJILI. KARIBU TUJIFUNZE SOTE kozi za miezi 3, 6 na mwaka mmoja zipo. Tunashirikiana na hotel za kitalii Zanzibar na Tanzania bara kwa mazoezi ya vitendo. Ajira kwa watakaofaulu vzi ni wazi kbsa. Kazi kwako mtanzania.
23/01/2022
MUHULA 2022 UMEANZA NA OFA. MWISHO TR 15FEBRUARY 2022.
TUPO ARUSHA MJINI.
FIKA OFFICINI AU WASILIANA NASI 0683898008
Muhula wa masomo 2022 umeshaanza karibuni sana
HAPPY NEW YEAR 2022
01/01/2022
Muhula wa masomo January 10, 2022.
12/12/2021
30/10/2021
Ziara ya mafunzo ya vijana wetu katika hotel za kitalii jjini Arusha tr 29 oct 202.
Mlete ndg jamaa au mwanao aje ajifunze.
1. Hotel operation
2. Tour Guide
3. Tour Operation
4. Entrepreneurship.
Wasiliana nasi kwa 0683 898 008
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |