Zanzi One Collection
Shopping �
03/06/2025
Available 45000 Tshs
03/06/2025
Available 45000
16/04/2025
01/12/2024
GARNIER BRIGHT COMPLETE 30X VITAMIN C SERUM
Hii serum ni moja kati ya serum nzuri sana for glowing skin.
Inaondoa dull skin na kuboost cell za ngozi hivyo kufanya ngozi kuwa na muonekano mzuri and looking young forever.
Inasaidia sana kuondoa madoa na weusi usoni hivyo utaitumia asubhi na jioni na utapata matokeo kuanzia siku ya 3 tu.
Inasaidia sana kung’arisha ngozi na pia kuondoa mikunjo.
Dermatologically tested.
All skin type.
24/10/2024
Anua Niacinamide 10%+Tranexamic TXA4% DARK SPOT CORRECTING SERUM
Ni serum nzur sana ambayo ina nguvu ya Niacinamide na Vitamin B+ ambayo inasaidia kuimarisha vizur ngozi na kuboresha texture na kutuliza kuvimba.
Pia ina Acid ya Tranexamic TXA 4% Inasaidia kung’arisha na kuzuia kutoka kwa madoa meusi mapya huku hatua kwa hatua ikififia.
Vile vile ina Acid ya Hyaluronic hii inasaidia kulainisha na kutuliza ili kuwa na unyevu.
15/05/2024
New turkish Abaya
Available
+255 719276768 🇹🇿
26/08/2023
08/02/2023
Available
Size 40-48
+255 719276768
Worldwide shipping
12/01/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
255