Norbert Hongoli

Norbert Hongoli

Share

Master Of Ceremony Mc
Sports Pundit
General Coordinator TFF/TPLB
Media Officer ARFA
Njombe Finest
Mc Hongoli

01/10/2026

Burudani kutoka kwa wahitimu wa kidato cha Nne Shule ya Sekondari ya wasichana Anna Gamazo

30/09/2026

Graduation Ceremony Anna Gamazo Sec School wahitimu wanavaibu la hatari alo wamependeza na wanajua kucheza,
Mc Hongoli niliitika kuwasherehesha.

Mc Hongoli
0750704851

30/09/2026

Asanteni Sana Anna Gamazo Sec School kwa kuniamini Mc Hongoli katika Mahafali ya 21 hakika ilikuwa yamoto sana pia leo nimetunzwa haswa 💵

Photos from Norbert Hongoli's post 29/09/2026

Just a love ❤️💍

Love 🫶 made It’s Entrance
Joy took over the room
And the Celebration became unforgettable ❤️‍🔥🤍

Walichaguana wakapendana na hatimae ni wanandoa Mr & Mrs Benhadad

Swipe left

Mc Hongoli
0750704851

Photo 📸 SANKAGRAPHICS
Makeup MKONO WA DHAHABU/KARATU MAKE UP ARTIST
Music Master The Real dj
Hall
Sound

Photos from Norbert Hongoli's post 28/09/2026

Busu takatifu laupendo kwa wanandoa halali 🥰💋

21/09/2026

Kwanini sikuizi watoto wanapendeza sana kwenye mahafali tofauti na zamani? Wahitimu wa darasa la saba Shule ya Catherine Pre and Primary wakati wakiingia ukumbini wakiwa wamependeza na sare zao Mc Hongoli nilikuwepo kuwahudumia.

20/09/2026

Sio tu kucheza hawa wamependeza sana Tazama balaa la wanafunzi wa Darasa la Saba Kilimamoja Hot Spring kwenye Graduation yao,Nilikuwepo kuwahudumia

Photos from Norbert Hongoli's post 20/09/2026

Asanteni Shule ya Catherine kwa kuniamini Mc Hongoli Kusherehesha mahafali ya saba ya Darasa la Saba hakika ilifana sana hadi wakati mwingine tena. Hongereni sana wahitimu wa darasa la saba naamini wote mtafaulu mitihani yenu.

Graduation team
Music The Real dj
Photographer📸 Richard Julius

18/09/2026

Mc Hongoli nipo hapa Green Park kwenye usiku wa Sargent Ahmad ambaye amestaafu,Asanteni sana Jeshi la Polisi Karatu kwa kuniamini.

18/09/2026

Leo Nipo hapa shule ya Catherine Pre and Primary katika mahafali ya Saba ya darasa la saba

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Karatu
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Norbert Hongoli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Arusha.