Chicken Economy Farm

Chicken Economy Farm

Share

"Tunawasaidia wafugaji wa kuku wenye ndoto kuweza kufuga kuku kwa faida kwa kuwapa muongozo sahihi"

Photos from Chicken Economy Farm's post 14/12/2022

LEO Tuangalie Mfumo WA Kubuni WA Kulea Vifaranga KWA kutumia Nishati.
Ya Chungu Cha Joto

AINA Hii Ya Mfumo Ulianza Kutumika Zaidi Kwa Ufugaji Kuku WA Kisasa Ambao Hatotolewa Kwa Wingi SANA Ambapo Vifaranga Huwekwa Kwa PAMOJA Chumba Maalumu Na kupatiwa Joto Maalumu Chakula Na Maji
Mfumo WA Kubuni WA kutumia Nishati
Utaratibu Huu Ni Kutunza Vifaranga Kwenye Mzingo (mdura) Ndani Ya Chumba Na kuvipatia Joto Kwa kutumia Taa Ya chemli
Taa Ya Umeme
Jiko la Mkaa
Au Chungu Cha Joto
Sasa Leo Nitawaonyesha Mfano WA Chungu Cha Joto Kwajili Ya ku lelea Vifaranga Vya Siku.
Muhimu Unaweza Kupima Joto Katika Mzingo mdura k**a Unatosha Au la
KWA Kuangalia Hali Ya Usambazaji WA Vifaranga
Kumbuka Ndani Ya Chumba Chenye Vifaranga kifaa Cha Joto kitakuwekwa Katikati Kisha vyombo Vya Chakula Na Maji Vitazunguka Kwa kufuata Katika Hali Ya Mzunguko
Sasa Gundua yafuatayo kulingana Na Ukuaji WA Vifaranga Vyako
1: Vifaranga kusambaa Ndani Ya Mduara wakila Chakula Na kunywa Maji Kwa uchangamfu Ni Dalili Ya Kuwa Joto liko SAWA.
2: Vifaranga Kuwa Pembezoni Kabisa Na kifaa Cha Joto Hulu Vifaranga Wakipiga Kelele SANA. Ni Dalili Kuwa Joto limezidi Na Ni Kali Sana.
Hali Hii Sio Nzuri Kwa Ustawi WA Vifaranga Hivyo Mfugaji Anashauriwa Mara Moja Hali Hiyo Kwa Kupunguza Nguvu Ya Joto.
3: Vifaranga hukusanyana Na kukisogelea Karibu kifaa Cha Joto Na huko Wanapiga Kelele SANA Ni Dalili Kuwa Joto Haliwatoshi..
4: Vifaranga kurundikana Upande Mmoja Ina Ashiria Kuwa upepo Ni Mkali Na Unapuliza
Upande Mmoja WA mduara Wako Na Hivyo kuvifanya Vifaranga kukimbilia Upande WA Pili Ili kujikinga Na upepo.
Upepo Mkali Sio Nzuri Kwa Ustawi WA Vifaranga Kwani Unaweza kusababisha Vifo Kutokana Na baridi Kali.
Muhimu Kumbuka kwamba Vifaranga Wanapiga Kelele SANA kulia Ndani Ya Mzingo mdura Inashiria Joto Limezidi Au kupungua Mno kutokuwepo Maji Au Chakula Au Usumbufu Inayoweza Kuwa Wadudu Unyevu Unyevu Unaosababishwa Na Maji Kumwagika Au Upungufu WA Hewa Kuwa Makini kujua Sababu Ya Shida Inayo wakabili Vifaranga...
Next week.
KWA Ushauri Zaidi Na Mafunzo Ya UFUGAJI KIBIASHARA Karibu
KWA Mawasiliano Zaidi Whatsapp call 0757952663.

12/12/2022

[DARASA BURE!] MUHIMU KWA WAFUGAJI WA KUKU WENYE NDOTO YA KUFUGA KUKU KIBIASHARA!

Kupitia program yetu ya KUKU UCHUMI, tuna kuandalia darasa la bure kabisa. Kwa siku 7.
Kuhudhuria darasa hili comment namba yako ya whatapps au,
nitumie ujumbe whatapps kwenda namba 0757 95 26 63
Au bofya hii link kuja moja kwa moja Whatsapp
http://bitly.ws/xLdJ
http://bitly.ws/xLdJ
Unaposubili darasa endelea kujifunza kupitia Channel yetu ya Youtube kwa
Jina la Kuku Uchumi.
TUKUTANE DARASANI.

12/12/2022

Mradi wa kuku ni kazi tena yenye tija, ikiwa tu utafuata taratibu za ufugaji zinazotakiwa-karibu katika madarasa yetu ya bure ambayo hufanywa kwa siku 7 kila wiki.
Tutumie ujumbe: DARASA BURE kwenda 0757 952 663

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha