Imara Tech
Ofisini kwetu ipo SIDO grounds, Arusha, Tanzania.
Imara Tech is a Tanzania-based social enterprise start-up that manufactures agricultural equipment for smallholder farms.
~~~~~~~~
Imara Tech ni kampuni mpya ya kutengeneza teknolojia ya mbalimbali.
08/08/2026
Bado tupo hapa viwanja vya nane nane Mbeya hadi Jumatatu🔥🔥🔥 Njoo uk**ate fursa na Imara tech.
Mbeya leo kumezidi kunoga🔥🔥🔥
Wakulima na wafugaji wajanja wamefika kwemye banda letu viwanja vya nane nane Mbeya na wamek**ata fursa🙌. Bado nawewe hujachelewa tupo hapa hadi tarehe 10/08/2026.
Njoo tukipe elimu juu ya fursa mbali mbali zilizopo katika kilimo na ufugaji kisha tukuuzie mashine za kisasa zenye teknolojia bora sana kwa bei rafiki ukabadili maisha yako sasa🔥
Imara tech-K**ata fursa,Badili maisha
08/08/2026
Mwanza leo mambo yalikuwa mazuri sana🔥
Team yetu imewakaribisha,imewapa elimu na imewauzia bidhaa bora na za kisasa wakulima na wafugaji waliofika kwenye mabanda yetu hapa nane nane Mwanza🔥
Bado hujachelewa kesho pia unaweza kuja, sisi tupo hapa hadi tarehe 10/08/2026🔥 Njoo uk**ate fursa na Imara tech sasa.
08/08/2026
FURSA IMEKUA UKWELI!
Leo, katika kilele cha Maadhimisho ya Nane Nane 2026 jijini Arusha, tumemkabidhi mteja wetu mashine yake kupitia mkopo wa PASS kwa kushirikiana na Imara Tech.
Hii ni hatua nyingine muhimu katika kuwawezesha wakulima na wafugaji kumiliki teknolojia bora na kuongeza tija, bila kulipa gharama yote kwa wakati mmoja.
Na jambo zuri zaidi? Huduma hii bado inapatikana! Unahitaji mashine lakini mtaji ni changamoto? Wasiliana nasi upate maelezo zaidi kuhusu namna unavyoweza kupata mashine yako kwa mkopo.
📞 0759447299
Imara Tech–K**ata Fursa, Badili Maisha.
08/08/2026
🏆 IMARA TECH YATUNUKIWA TUZO NANE NANE 2026!
Tunayo furaha kubwa kutangaza kwamba tumetunukiwa nafasi ya pili katika kipengele cha Mashine na Zana za Kilimo katika Maonesho ya Nane Nane 2026, tuzo kutoka Wizara ya Kilimo.
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Wizara ya Kilimo kwa kutambua na kuthamini mchango wetu katika kuleta teknolojia na suluhisho za kisasa katika sekta ya kilimo.
Kwa namna ya pekee, tunawashukuru wateja wetu na kila mmoja anayetuamini. Imani yenu ndiyo nguvu inayotusukuma kuendelea kuboresha, kuvumbua na kutoa bidhaa na huduma zenye thamani.
Tuzo hii ni motisha kwetu kufanya zaidi na kuwa bora zaidi. Tunaahidi kuendelea kuwapa kilicho bora,mashine bora, teknolojia bora, huduma bora na fursa bora zaidi.
Asanteni kwa kuendelea kuamini Imara Tech.
Imara Tech-K**ata Fursa, Badili Maisha
08/08/2026
Imara Tech inawatakia Nane Nane Njema!
Tunawashukuru kwa kuendelea kutuunga mkono katika maadhimisho haya ya Nane Nane 2026.
Bado tupo Mwanza, Arusha na Mbeya kwa ajili yako. Karibu kwenye mabanda yetu upate elimu kuhusu kilimo na ufugaji wa kisasa, ujionee mashine zetu bora na uchangamkie fursa mbalimbali tulizokuandalia.
Usibaki nyuma, sogea Imara Tech uk**ate fursa!
Imara Tech-K**ata Fursa, Badili Maisha.
07/08/2026
Kesho ndiyo kilele cha Maadhimisho ya Nane Nane 2026!
Karibuni sana kwenye mabanda ya Imara Tech yaliyopo Mwanza, Arusha na Mbeya. Pata elimu ya kilimo na ufugaji wa kisasa, nunua mashine bora kwa ofa kabambe, na uk**ate fursa za kubadili maisha yako.
Usibaki nyuma. Imara Tech-K**ata Fursa, Badili Maisha.
Umekula???? k**a bado sogea lilipo banda la Imara tech nane nane utulize njaa kidogo🥳
K**a umeshakula basi njoo tukupe chakula cha ubongo, Wataalamu wetu wa kilimo na ufugaji tayari wapo bandani kwetu kuhakikisha wanakufunduisha namna sahihi za kutumia mashine zetu kuongeza kipato kwenye kilimo na ufugaji wako🔥🔥
Njoo Imara tech uk**ate fursa sasa🔥🔥🔥
07/08/2026
Mwanza Mwanza Mwanza🔥🔥
Kesho ndio kilele cha maadhimisho ya nane nane 2026, k**a wewe ni mkulima au mfugaji unaetamani kuongeza thamani kwenye kazi zako hakikisha hukosi kufika kwenye banda letu viwanja vya nane nane Mwanza 🔥🔥🔥 Njoo ujifunze na upate kilicho bora kutoka Imara tech, njoo uk**ate fursa📌
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
SIDO Plot 42, Unga Limited
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:30 |
| Tuesday | 09:00 - 17:30 |
| Wednesday | 09:00 - 17:30 |
| Thursday | 09:00 - 17:30 |
| Friday | 09:00 - 17:30 |
| Saturday | 09:00 - 17:30 |