QTY Company Limited
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from QTY Company Limited, Property developer, Arusha.
Wauzaji wa viwanja vya makazi, biashara, na viwanda vilivyopimwa nchini Tanzania.
~~
Real Estate Company that sells registered residential, commercial, and industrial plots in Tanzania.
27/04/2021
Kampuni ya QTY Inawaletea viwanja vilivyoko muriet kata ya terat ndani ya jiji la Arusha jirani kabisa na makao makuu mapya ya Idara ya maji.
Kwa mawasiliano zaidi
0716286928 WhatsApp
0689505689 tupigie
Kampuni inagaramia taratibu za HATI ya kiwanja chako baada ya manunuzi
Muriet Arusha
Kilometer 1.2 kutoka junction ya intel (barabara ya east Africa)
Meter 100 kutoka jengo la makao mapya ya idara ya maji
Eneo tambarare lenye miundombinu ya Barbara, Maji na Umeme
Sqm 18,000 tu
Ardhi ni Mali wekeza sasa na QTY
KARIBUNI
16/03/2021
Ni awamu nyingine tena na ofa kabambe ya viwanja vya makazi na biashara shilingi za kitanzania 20,000 kwa sqm na maelewano yapo.
Kampuni ya QTY Inawaletea viwanja vilivyoko muriet kata ya terat ndani ya jiji la Arusha jirani kabisa na makao makuu mapya ya Idara ya maji.
Kwa mawasiliano zaidi
0716286928 WhatsApp
0689505689 tupigie
Kampuni inagaramia taratibu za HATI ya kiwanja chako baada ya manunuzi
Muriet Arusha
Kilometer 1.2 kutoka junction ya intel
Meter 100 kutoka jengo la makao mapya ya idara ya maji
Eneo tambarare lenye miundombinu ya Barbara, Maji na Umeme
Ardhi ni Mali wekeza sasa na QTY
KARIBUNI
******Kampuni inagaramia taratibu za HATI ya kiwanja chako baada ya manunuzi*******
Muriet Arusha
Kilometer 1.2 kutoka junction ya intel
Meter 100 kutoka jengo la makao mapya ya idara ya maji
Eneo tambarare lenye miundombinu ya Barbara, maji na umeme
Bei: 20,000 kwa square meter
Tupigie na tukuonyeshe your dream land
09/02/2021
Ni awamu nyingine tena na ofa kabambe ya viwanja vya makazi na biashara shilingi za kitanzania 28,000 kwa sqm na maelewano yapo.
Kampuni ya QTY Inawaletea viwanja vilivyoko muriet kata ya terat ndani ya jiji la Arusha jirani kabisa na makao makuu mapya ya Idara ya maji.
Kwa mawasiliano zaidi
0716286928 WhatsApp
0689505689 tupigie
Ardhi ni Mali wekeza sasa na QTY
KARIBUNI
04/07/2020
KAMPUNI YA QTY NI KAMPUNI ILIYO SAJILIWA KISHERIA KWA NAMBA 141367420 IKIWA NA MAJUKUMU MBALIMBALI YA KIBIASHARA MOJA WAPO IKIWA NI UUZAJI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA VYA MAKAZI NA BIASHARA PAMOJA NA MASHAMBA.
KWA SASA KAMPUNI YA QTY INAUZA VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA VILIVYOKO BARABARA YA AFRICA MASHARIKI KATA YA TERRAT MTAA WA MURIET HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA.
VIWANJA HIVYO VIMEPIMWA KWA UTAALAMU WA MIPANGO MIJI NA VENYE UKUBWA MBALIMBALI VIKIANZIA MITA ZA MRABA 100.
VIWANJA HIVYO VIPO KATIKA ENEO TAMBARARE KABISA NA VIMEZUNGUKWA NA MIUNDO MBINU NA HUDUMA ZOTE MUHIMU ZA KIJAMII IKIWEMO HOSPITALI KUBWA YA WILAYA ILIYOKO MURIET, MAJI (IMEPAKANA KABISA NA MAKAO MAPYA YA OFISI ZA IDARA YA MAJI ZA JIJI LA ARUSHA), UMEME, NA BARABARA ZINAZOPITIKA MISIMU YOTE YA MWAKA.
BARABARA ZINAZOTENGANISHA MITAA YA NDANI YA VIWANJA ZINA UPANA WA KUTOSHA WA MITA 6 NA BARA BARABARA KUU YA KUUINGIA KWENYE VIWANJA INA UPANA WA KUTOSHA WA MITA 8
PANA UMBALI WA KM 12 KUTOKA KWENYE VIWANJA VILIPO HADI KATIKATI YA JIJI LA ARUSHA NA UMBALI WA KM 1.2 KUTOKA BARABARA YA AFRIKA MPAKA VIWANJA VILIPO NA UMBALI WA MITA 62 KUTOKA OFISI ZA IDARA YA MAJI MPAKA VIWANJA VILIPO, JUMLA KUTIMIA KM 12.
MITA MOJA YA MRABA KWA SHILING 40,000 TU ZA KITANZANIA MAZUNGUMZO YAPO. PIA MALIPO YA AWAMU YAPO KWA KUZINGATIA MASHARTI NA VIGEZO.
ARDHI NI MALI WEKEZA SASA
KWA MAWASILIANO,
0689505689-MAWASILIANO YA KAWAIDA
0716286928-WHATSAPP
16/06/2020
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 18:00 |
| Wednesday | 09:00 - 18:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |