Ujenzi

Ujenzi

Share

Sisi tuna shauri, design na kujenga majengo mbalimbali, interior and exterior designing and decoratio

28/04/2026

Ujenzi
We Design
We Build
We Decorate
Karibuni ....

12/02/2026

Floating steps, 15cm riser and 30cm tread meaning kids, watu wazima/wazee na wagonjwa can easily climb...!!!!

Photos from Ujenzi's post 04/01/2026

We provide consultancy designing and building also help fixing decorative items like this parapets installation work. Call/WhatsApp 0652494919

01/01/2026
Photos from Ujenzi's post 25/12/2025

Igunga residential house: Parapet installation work. Kwa huduma ya ushauri na ujenzi call or WhatsApp 0652 494 919

Photos from Ujenzi's post 20/11/2025

Igunga residential building.
Lengo nikupata nyumba yenye muonekano karibu sawa na hizo picha tatu zinavyoonekana hapo chini kabisa japo tume badirisha kidogo kuendana na mahitaji ya mteja wetu.
KARIBU TUKUJENGEE
0694949301

19/11/2025

Hili ni dirisha tu!!!
Karibuni katika ujenzi

19/11/2025

Igunga residential building. Itakua moja ya nyumba nzuri sana.
*Tumechimba 90cm kwenda chini na kuondoa udongo sbb ni mfinyanzi kwisha kazi.
*Tukaweka mchanga mzuri na kuushindilia vema kuepuka nyumba kupata nyufa.
KARIBUNI KTK UJENZI

19/11/2025

Igunga residential house. Itakua moja ya nyumba nzuri sana itakapo kamilika.

Photos from Ujenzi's post 20/07/2025

KARIBU TUKUJENGEE.
Kwa sasa monduli njia ya kwenda kisota kigamboni tumefikia hapa na bado tunaendelea!!!

Want your business to be the top-listed Home Improvement Business in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


NHC House No2, Goliondoi Street
Arusha