Maasai Channel
𝗠𝗮𝗮𝘀𝗮𝗶 𝗖𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹
𝑻𝒆𝒏𝒆𝒃𝒐 𝑴𝒂𝒕𝒆𝒔𝒉𝒆𝒕 𝑶𝒍𝒐𝒔𝒉𝒐 𝑳𝒂𝒏𝒈
EMPUTOTO ALAIGWANANI KITOK LE MAA EAST AFRICA SINANDEI MAKKO | TAYIOLO NKUMOK
29/05/2026
OSIRWA SAPUK🔥🔥
27/05/2026
KIKAO CHA FAMILIA YA ILOODOKISHU KILICHOFANYIKA LEO, LENGO NI KUSOMEA WANAFAMILIA RASIMU YA KATIBA
KIKAO HICHO KIMEFANYIKA KATA YA KIMOKOUWA WILAYA YA LONGIDO
HIGHLIGHTS | MADIWANI WILAYA YA LONGIDO NA MONDULI WACHEZA MECHI YA KIRAFIKI LENGO NI KUJENGA UMOJA NA USHIRIKIANO KATIKA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO
25/05/2026
Bonanza la madiwani kati ya wilaya za Longido na Monduli limefanyika katika viwanja vya
Polisi Longido, ambapo timu ya Monduli iliibuka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa
mpira wa miguu uliokuwa na ushindani mkubwa.
Bonanza hilo lilihudhuriwa na viongozi
mbalimbali wa serikali pamoja na wananchi waliojitokeza kushuhudia mchezo huo wa kirafiki
na kuimarisha mshikamano kati ya wilaya hizo mbili.
Akizungumza baada ya mchezo huo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Salum Kalli alisema kuwa
michezo ni njia muhimu ya kuwakutanisha viongozi na wananchi huku ikisaidia kujenga afya na
mshikamano. Alisema, “Ni jambo zuri kukutana kimichezo ili kufurahi pamoja na kujijenga
kiafya kwani muda mwingi mnakuwa mkitekeleza majukumu ya kuwatumikia wananchi.”
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Longido Thomas Ngobei alisema mchezo
ulikuwa mgumu lakini wanaendelea kujipanga kwa ajili ya mechi ya marudiano itakayofanyika
Monduli.
Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli Kisioki Moitiko alieleza furaha yake
kwa ushindi walioupata na kuwakaribisha Longido kwenda Monduli kwa mchezo wa marudiano
huku akiahidi maandalizi makubwa zaidi.
"KIRRIWAITIE IYIE" UJUMBE MZITO KWA MH MATHAYO NDAYIA DIWANI KATA YA ENGIKARET W/LONGIDO
14/05/2026
KARIBU KWENYE CHANNEL YETU YA WHATSAPP
Maasai Channel – WhatsApp channel
Follow Maasai Channel's WhatsApp channel. Maasai Channel
Tenebo Mateshet olosho lang. Join 21 followers for the latest updates.
ILARIKOK LE MAA 💪
Orbungei Steven Kiruswa - Namayiani Kashingo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Longido
Arusha
23501