Data Kubwa
Data Kubwa Is Official Youtube ChanelππββοΈ
Subscribe plz for More Information π
07/03/2026
Happy Birthday To Me πππ Asante Mungu Kwa Mwaka Mwingine Kwangu π
UKIACHILIA MBALI, DAVIDO KUJA TANZANIA, CHUKUA HII.. Hii nyimbo ambayo Davido Amefanya performance Inaitwa WHITH YOU Ambapo Amemshirikisha Msanii KABLA YA HII NYIMBO KUTOKA, Msanii aliamini kuwa anamchukia Ingawa Hawakuwa wamewahi kukutana, Kila kitu kilikuja kubadilika baada ya streamer maarufu duniani Kufanya mahojiano na Kisha akacheza wimbo wa msanii Omah Lay na kumsifia Sanaa.
Baada ya Omah Lay Kuona Kipande Hicho Cha Video Alikuja Kwenye Mtandao Wa X Zamani Twitter, na kuandika "I Thought he hated me" ( Nilidhani Ananichukia) Na Baaada ya Hapo OBIO Alimchek DM na Kumwambia Kwa Nini ya Kuwa Anamchukia So Ushkaji Ulianzia Hapo Mpaka Hii Leo Kwenye Kazii Ya Pamoja Ambayo wengi walitegemea ya kuwa ingechukua Tuzo Ya Kw Mwaka 2026.
Follow me .dizzonofficial
K**a umekuwa ukifuatilia movie tofauti au series kutoka unyamwezini, basi sautii ya siongeni Masikioni mwako.
Mkalii amefungukaa safari yake ya kutangaza MOVIE, kuanzia mwaka wa 1990 ambapo wakati huo ilikuwa inamlazimu afanye matangazo kwa njia ya ( kutembea na gari la matangazo barabarani) Kisha baadae ndio aweze kutafsiri movie katika eneo husika ambalo amechagua au kwa watu ambao watakuwa wamelipia ili afanye kazi hiyo.. ππ
Je umeanza kufuatilia movie zake ukiwa na umri gani..? ππ Drop Comment yako hapo chini πππ₯π
FOLLOW ME .dizzonofficial
#
11/11/2025
πππ Unaikumbuka hiii
09/10/2025
Derrick Groves ni mmoja Kati ya wafungwa kumi Ambao walitoroka kwenye gerezani la New Orleans, ambapo mapema hii leo amek**atwa na polisi na kufikishwa kwenye vyombo vya usalama.
Swipe Left π
Follow .dizzonofficial
complex
Μne
05/10/2025
Ukimzungumzia Badgirl RIRI Basiiii unaingia kwenye Anga Nyingine Ya Muziki Ambayooo Ilifanya Mashabiki Wasiopenda muziki Na Kupendaaa Kazi Za Msanii Rihanna.
Hizi Hapaa Ni Baadhi Ya Kazi Zake Ambazo Ziliwafanya Hata Wasiomashabiki Wa Muziki Wa Rihanna Kupendaaa na Kufatilia Kazi Zake
πΒ Top 3 Ngoma Kali za Rihanna β Queen wa Vibes Zote πΆ
1. Umbrella β ft. Jay-Z ilikuwa 2007 hapaa
Ngoma iliyomtambulisha k**a βthe new queen of popβ. Chorus yake ni timeless β inazungumzia uaminifu na upendo wa kweli, ule wa βnitabaki nawe hadi mwishoβ. Sema kwenye hii kazii kuna namna bi Dada alifunguka mengi kuhusu mtu anayempenda na jinsi Ambayooo atapokea kile alicho kizungumzaaa ππ
2. We Found Love π ft. Calvin Harris
Energia, Huu ni wimbo Ambao ulitoka mwaka 2011,hii ni kazii ambayo kwa pamojaa k**a utaisikikiza hapa ujueΒ anazungumzia kumpenda mtu na baadae kukupa maumivuu pia.
3. Work ππ½ ft. Drake
Dancehall + romance + chemistry Moja ya ngomaΒ Kali Sana. Hapa Bi Dada anafunguka mengi kuhusu mahusiano na namna anampenda mchiziii wake ( drake) alafu drake ni k**a hazingatii iviii mahusiano Yao yy busy na mishe zake.
Zipi nyingi zaidiii k**a nlivyo wasilishaa hapoooo ebuu fungukaa kwa upande wako ipi ambayo mpka Leo ipo kwenye simu yako au Playlist yako pia. π
Follow me
β
β
Hizii ni Baadhi Ya Nyimbo Ambazo Mpaka Leoo Hiii Zinasumbua Kwenye Kumbi Za Starehe, Kuanzia watoto wa 2000 mpaka 2010.
Huwa Wakizisikia Hizi Kazii Basii, Wanaziona K**a Mpya Masikioni Mwao π Coz Vibe Na Content ndani Yake Ni Tofautiii Kabisaa Na Hivi Sasaaaa
πππ Ebuu nipe yako nyingine unayoikubali tofauti na hizii kwenye comment πππ
Follow me
β€οΈ
30/09/2025
Dreams need hustle β wishing is free, but grinding is the price tag.π
Follow me back .dizzonofficial
14/09/2025
Album yaΒ P-Square β Double TroubleΒ ilitoka rasmi tareheΒ 12 Septemba 2014. Hii ndiyo album ya sita ya ndugu hao (Peter na Paul Okoye), na ni moja ya kazi kubwa zilizowaweka kwenye ramani ya kimataifa zaidi.
πΒ P-Square β Double Trouble (2014) Ndo Muda Ilitoka Ikiwa chini Ya Watayarisha k**a β’ Vtek, Charles Duke, Mecca E, Oscar Herman - Ackah Pamoja Na P Square Wenyewe.
Baadhi Ya Wasanii Walioshirikishwa Kwenye Collabo Hizo Ni Pamoja Na
β’ T.I.Β (Rapper kutoka Marekani)
β’ Don Jazzy
β’ Awilo Longomba
β’ Jermaine Jackson
β’ Dave Scott
Na π₯ Nyimbo Maarufu Kutoka Kwenye Album ni
β’ Shekini
β’ Collabo (ft. Don Jazzy)
β’ Ejeajo (ft. T.I.)
β’ Bring It On (ft. Dave Scott)
β’ Enemy Solo (ft. Awilo Longomba) Na Ngoma Hizii zilikuwaa Hit Song Sanaa Kipindi Hicho Hadi Sasa Hivi, Kiufupi P Square Walikuwa Kwenye Level Kubwa Sana Ya Muziki.
π swipe left.... Kuzitazama π
βοΈ.dizzonofficial Follow me
β€οΈβ€οΈ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Address
Arusha
12345