Yasser Provision Store

Yasser Provision Store

Share

Quality Commodity Importers
Leaders In Importation Of Rice| Sugar | Detergents | Oil | Fats & Steel

05/10/2026

Anza siku yako kwa usafi unaoleta tofauti! ✨🧺 Malaika Detergent Soap Uusafi wa hali ya juu, harufu nzuri na nguo zinazong’aa kila siku. 🫧💚

02/10/2026

Usafi wa mavazi ni sehemu ya ibada. 🤍✨
Kwa kanzu safi, zinazong’aa na kunukia vizuri, chagua Malaika Detergent Powder Usafi unaoleta hali ya kujiamini kila wakati. 🕌🧺

01/10/2026

Tabasamu hata baada ya Kuchafuka kwasababu una uhakika na Malaika Detergent🧼
Waache watoto wacheze kwa uhuru, wachafuke na kufurahia kila dakika kwa sababu ukiwa na Malaika Detergent Soap, usafi wa nguo zako una uhakika! ✨💚

30/09/2026

Chaguo Bora la Mama na Mtoto ni MalaikaDetergent Soap! 💚🌸
Kwa usafi wenye harufu nzuri na nguo safi kila wakati, Malaika Detergent Soap ni chaguo la kuaminika kwa familia. 🧺✨
Malaika Detergent Soap “Ng’arisha Maisha Yako!

29/09/2026

Usafi wa haraka na rahisi huanza na sabuni sahihi! 🧺✨
Kwa nguo safi, zenye harufu nzuri na mwonekano wa kuvutia, chagua Malaika Detergent Soap. 💚🌸
Malaika – Ng’arisha Maisha Yako!

28/09/2026

Siri ya wanafunzi kupendeza wakiwa shuleni ni Malaika Detergent Soap! ✨🧺💚
Usafi, freshness na nguo zinazong’aa kila siku Malaika ni chaguo la kuamini. 🌸

27/09/2026

✨ Nguo zinazong’aa, safi na zenye harufu nzuri? Siri ni Malaika! 🌸🧺
Furahia usafi wa hali ya juu na harufu inayodumu kwenye nguo zako. Jaribu Malaika Detergent Soap leo na ng’arisha maisha yako! 💚✨

26/09/2026

✨ Usafi wa kweli unaanza na chaguo sahihi! ✨
Malaika Detergent Soap ni suluhisho moja kwa usafi na harufu nzuri. 🧺🌸 Usafisha nguo zako kwa ufanisi, zikiwa safi, laini na zenye harufu inayovutia.

25/09/2026

Baada ya ibada ya Juma’a, furaha inaendelea na usafi wa hali ya juu. 🕌✨
Malaika Bar Soap inakupa usafi, harufu nzuri na hisia ya kujiamini kila siku. 🧼🌸
Kuanzia msikitini hadi nyumbani, Malaika ni chaguo la usafi linaloleta mwanga na freshness katika maisha yako.💫

24/09/2026

🧼✨ Tabasamu la Monalisa lina siri… Usafi unaong’aa na harufu inayopendeza!
Jitunze kwa usafi na ujisikie fresh kila siku ukiwa na Malaika Bar Soap. 🌸

Want your business to be the top-listed Grocery Store in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Mtoni Mazrui
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yasser Provision Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Arusha.