Kilimo kwanza
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kilimo kwanza, Business service, Arusha.
Ukurasa huu Ni kwajili ya kuweza kujiandaa na application mpya ijayo kwa ajili ya kilimo itakayoitwa kilimo kwanza app, app hii itakuwa mahususi kwa vijana na wakulima na tutaweza kutoa mafunzo
09/04/2023
Kijijishop Ni kampuni NAMBA moja tanzania inayouza bidhaa mbalimbali mtandaoni kupitia application yao ya kijijishop na website yao
16/02/2023
Kijijishop Ni kampuni inayotoa ajira kwa vijana kwa njia ya mtandaoni
PESA MTANDAONI jifunze namna ya kupata pesa mtandaoni leona kijijishop Tanzania
KILIMO BIASHARA Kilimo kwanza is a program which their can help agricultural person for providing immediately agricultural education services
22/01/2022
KILIMO KWANZA kushirikiana na NBC bank wana let app ya kilimo kwanza app hii itanufaisha wakulima na vijana pamojaaa na wafanyabiashara ivo bas kupelekea utanuzi mkubwaaa wa biashara,kilimo,na ajira kwa vijanaπ₯π₯π₯π₯ Basi tuna karibisha yeyote ambaye yupo tayari kushea business idea na sisi kwa ajili ya kukamilisha swala hili kwa ubunifu wa Hali ya juu ,π’π₯π₯π€ adondoshe namba yake tutamchek@Kilimo kwanza app
Wakulima ifikapo tarehe 27/2/2022 tutazindua app mpya kwa ajili ya kilimo app hii itakua kudownlod file Ni 10000/ alafu kumwalika rafiki 3000/ naomba Tu jiandae kwani app hii itanufaisha wakulima na vijana kwa ujumla ,pia tutatoa mafunzo kwa vitendo kwa kuwafata wakulima uko malipo ,.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Arusha
TZ2002