Do2Do Delivery Services

Do2Do Delivery Services

Share

DO2DO Delivery services n kampun.

inayojishughulisha na uuzaji pamoja na usambazaji wa bidhaa za sokoni, Tunakufikishia bidhaa zote kutoka sokon mpaka nyumbani kwako kwa ubora na umakin wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi

23/03/2020

siku nyingine wateja wengine. Furaha kutoka kwa wateja wetu ndilo jukumu letu,
weka oda yako sasa nasi tutakufikia popote ulipo jijin Arusha BURE kabisa

22/03/2020

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Je umechoka au huna muda wa kwenda sokoni??
Je kazi zinakubana na kupata shida ya kwenda sokon??
bas usipate tabu

*DO2DO Delivery* Tunakufikishia bidhaa zote kutoka sokon mpaka nyumbani kwako kwa ubora na umakin wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi:
Bidhaa zote za sokon yan Groceries zikiwa fresh kabisa zinapatikana kwa bei nafuu sana.
Pia bidhaa za dukan k**a mikate, peanut butter, mayonnaise, asali, margarines, sukar, mchele, unga n.k vyote vinapatikana..
Pia tunasambaza matunda ya aina zote kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu: maembe, machungwa, mapapai, mananasi, ndizi, parachichi, mapassion n.k

kwa maelezo zaidi na kuweka order yako tupigie au tuma txt kawaida au WhatsApp kupitia:

0626407028 au
0675556439

22/03/2020

Ahsante sana mteja wetu kwa kufanya manunuzi nasi, tutaendelea kukupa huduma bora zaidi kuwah kutokea 😄😄

tunakufikishia kila kitu mpka mlangoni kwako kwa bei nafuu sana
Pata OFFER yan hadi aslimia 20 kwa oda yako ya kwanza
TOA ODA YAKO SASA kupitia

0626407028
0675556439

Want your business to be the top-listed Shop in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Arusha
255

Opening Hours

Monday 07:00 - 19:00
Tuesday 07:00 - 19:00
Wednesday 07:00 - 19:00
Thursday 07:00 - 19:00
Friday 07:00 - 19:00
Saturday 07:00 - 19:00
Sunday 07:00 - 19:00