Queen Gee Podcast

Queen Gee Podcast

Share

The conversation is different here. Join weekly empowering, educating, uplifting conversations on th

Photos from Queen Gee Podcast's post 13/05/2026

Pesa Ina Kanuni Na Taratibu Zake, Bila Kuzielewa Hata Ushike Kiasi Gani Cha Pesa Kwenye Maisha Yako Unakua Unaweka Tu Msingi Wa Kuja Kuwa Mzee Mtoa Laana Mbeleni

📌Kwani Hujawahi Kuona Watu Wenye Kushika Pesa Chache Wakiwa Na Hali Nzuri Kifedha Kushinda Wengi Wanaoshika Pesa Nyingi? Unafikiri Shida Ni Nini?

📌Tenga Muda Uielewe Pesa Na Namna Inavofanya Kazi Maanake Hili Hata Shule Hawakufundishi, Utajishukuru Sana Uzeeni😊

🚀Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule 💵💵💵

Coach Gee💚

11/05/2026

Jumatatu Ya Ku Manifest🤩 Haya Nipewe Hiyo 100M Nina Kazi Nayo Na Uhakika Wa Msosi Hayo Mengine Nitapambania🤣🤣

Photos from Queen Gee Podcast's post 08/05/2026

Another Chapter 🥂 Still Writing The Story… Happy Birthday To Me 🎉🎂

Photos from Queen Gee Podcast's post 28/04/2026

Nimewawahi Au Tujaribu Tena Mwezi Ujao? 😅😅

Umefanya Budget Mwezi Huu? Umepangilia Fedha Zako? Au Tukuache Unazipata Kwa Shida Sana.

🚀Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule💵💵

Coach Gee💚

Photos from Queen Gee Podcast's post 23/04/2026

Leo Sikufundishi Leo Nashare Experience 😊 I Still Hope Utajifunza Kitu🤩

Coach Gee💚

Photos from Queen Gee Podcast's post 21/04/2026

Labda Unaogopa Kujitathmini, Labda Hujui Uanzie Wapi, Inawezekana Tu Pia Unakwepa Kujua Kiini Cha Tatizo Kwasababu Eti Mambo Mengine Ni Kheri Usijue..

📌Kuna Mambo Ni Kheri Usiyajue Ila Sio Hali Yako Kifedha, Hii Lazima Uijue, Hii Lazima Ujue Shida Iko Wapi Na Nini Ufanye, Hizo Namba Lazima Uzijue Na Kuzifahamu K**a Wimbo Wa Taifa, Hio Ndio Siri Ya Kutoboa & Kuwa Na Hali Nzuri Kifedha 💰

📌Kukwepa Ku Deal Na Issue Zako Kifedha Kunakuchelewesha, Inawezekana Hutaki Ku Deal Mwenyewe, Ndio Sababu Tuna 101 Session📝

📌Kwenye 101 Session Tuna Deal Na Hali Yako Kifedha Personally Kwasababu Changamoto Zetu Hazifanani, Na Ukilipia Session Wiki Hii Kuna Bei Ya Offer

📩DM Neno “101” Kupata Utaratibu Wa Kubook Session Yako Leo Tutatue Hiyo Situation Tubadilishe Hali Tukuweke Kwenye Uelekeo Mzuri Kifedha💵💵

🚀NAKUFUNDISHA YALE WALIYOSAHAU KUKUFUNDISHA SHULE 💵💵💵💵

Coach Gee💚

Photos from Queen Gee Podcast's post 14/04/2026

Ninavozidi Kukua Nazidi Kugundua Haswa Kwenye Hili Eneo La Fedha Bila Mungu Sitoboi.

📌Ndio Sababu Hata Kuomba Kwangu Ni Strategic, Usiishie Tu Kuishi Maisha Kwa Mkakati Hata Maombi Yako Yawe Ya Kimkakati 😊 Utaona Utofauti

👇🏾Ni Kitu Gani Kingine Tunaweza Kuomba Badala Ya Kuomba Fedha Moja Kwa Moja?

🚀Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule💵💵

Coach Gee🤍

05/04/2026

Hayupo Hapa Amefukuka ✝️✨ Happy Easter Wealth Builders 💕💕

Photos from Queen Gee Podcast's post 24/03/2026

Moja Ya Kanuni Muhimu Itakayokusaidia Kufanikiwa Kifedha Ni Kujenga Nidhamu Ya Kuishi Ndani Ya Uwezo Wa Kipato Chako💵

📌Kushindwa Kuishi Ndani Ya Uwezo Wa Kipato Chako Kunakuja Na Gharama Kubwa K**a Vile Kuendesha Maisha Kwa Mikopo.

📌Unaona Sasa Hata K**a Ni Ngumu Lakini Ni Muhimu Na Ni Bora Kujenga Hii Nidhamu Hata Kwa Nguvu Ikibidii😎

📅 Tarehe 28.03.2026 Tunakutana Wanawake Wa Arusha Kujadili Namna Ya Kufanikiwa Kifedha Na Kiafya Kwenye Event Yetu Ya Healthy, Wealthy Her✨

📍Tunakutana Linkspace, Kaloleni Kwanzia Saa 4:30 Asubuhi

📌Event Hii Sio Ya Kukosa‼️

💰Ada Ya Kushiriki Ni 40,000/= (DM “Arusha” Kupata Utaratibu Wa Kulipia Ushiriki Wako)

🚀Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule💵💵

Coach Gee💚

Photos from Queen Gee Podcast's post 16/03/2026

When Women Learn Money 💰 Generations Win💪🏾💚

It’s Always An Honor To Share The Financial Gospel & To Be Part Of A Conversation That Empowers Us To Take Control Of Our Financial Futures ✨💰

To The Incredible Women Of Lake Manyara, Thank You For Having Me🤝

Coach Gee💚

13/03/2026

ARUSHA WOMEN, ARUSHA WOMEN📣📣

📌Wanawake Wa Arusha Hii Ni Yetu🤩 Tunakutana Kuzungumza Mambo Muhimu Kwetu AFYA & FEDHA✨

📌Hujapata Mtoko Mwezi Huu Wa Wanawake Mtoko Wa Maana Kabisa Huu Hapa😍😍

📌Come Learn & Network 🤝🤝

📅 28.03.2026
📍Link Space Kaloleni
⏰ Kwanzia Saa 10:30 Asubuhi

📌Tag Mwanamke Wa Arusha Mwambia
HII SIO YA KUKOSA‼️

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Arusha