tgc_arusha

tgc_arusha

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from tgc_arusha, College & University, Arusha.

22/08/2024

Ruby Zoisite Trophy: A Captivating Fusion of Passion and Earth’s Vibrant Elegance

08/08/2024
Photos from tgc_arusha's post 27/07/2024

Pongezi kwa Bi. Lilian Petro! (Mkufunzi katika Kituo Cha Jemolojia Tanzania-TGC) kwa kutunukiwa tuzo ya Malkia wa Nguvu katika Sekta ya Madini "Uongezaji thamani Madini" Umeonyesha mfano mzuri kwa wanawake kuchangamkia Fursa mbalimbali zilizopo katika Sekta ya Madini Endelea kuhamasisha wengine! 🌟

Photos from tgc_arusha's post 17/07/2024
Photos from tgc_arusha's post 12/07/2024

Jewelry making (pendant with amethyst )

Photos from tgc_arusha's post 09/07/2024

*NITAENDELEZA ALIPOISHIA MAHIMBALI- MHANDISI SAMAMBA*

*Asisitiza ushirikiano, amani, upendo kufikia matarajio ya Sekta*

*MAHIMBALI amweleza mlango uko wazi kutoa ushauri kwa Sekta*

*STAMICO Yasema uongozi wake ulikuwa wa Manufaa Makubwa kwa Shirika*

*Dodoma*

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema ataendeleza pale alipoishia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Kheri Mahimbali kutekeleza majukumu na kusimamia masuala yote yanayohusu Sekta ili kuhakikisha malengo tarajiwa ya Taifa kupitia Sekta ya Madini yanafikiwa.

Ameyasema hayo Julai 9, 2024 katika hafla yupi ya makabidhiano ya Ofisi ya Katibu Mkuu baada ya kuteuliwa na kuapishwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu kushika wadhifa huo wa kuisimamia Wizara ya Madini.

Ili kufikia matarajio hayo, Mhandisi Samamba amewataka Watumishi wote wa Wizara na Taasisi zake kufanya kazi k**a timu moja huku akihimiza upendo, ushirikiano, amani na kuoneana huruma kuhakikisha malengo ya Wizara ya kukusanya Shilingi Trilioni Moja katika Mwaka wa Fedha 2024/25, utekelezaji wa vipaumbele vyake, utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2050 na utekelezaji wa Vision 2030: Madini ni Maisha& Utajiri yanafikiwa.

Mhandisi Sambamba ametumia fursa hiyo kumshukuru na kumpongeza aliyekuwa Katibu Mkuu Kheri Mahimbali kutokana na usimamizi na uongozi wake uliopelekea maendeleo na mafanikio kwenye Sekta ya Madini ikiwemo ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali ya kiasi cha Shilingi Bilioni 753 katika Mwaka wa Fedha 2024/25 na kueleza kwamba, ni mafanikio ambayo akiwa Katibu Mtendaji wa Tume wa Madini hayakuwahi kufikiwa.

‘’Tunayo majukumu mbele yetu kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye Pato la taifa kufikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2025 au kufika mapema kabla ya mwaka huo. Katibu Mkuu Mahimbali ametuacha na asilimia 9.1 ni mafanikio makubwa sana, tuna asilimia 0.9 iliyobaki tuendelee kujiamini tukamilishe. Lakini ili kufikia hapa, kila mmoja kwenye eneo lake awasimamie watu wake vizuri,’’ amesisitiza Mhandisi Samamba.

Kwa upande wake, Mahimbali akizungumza katika kikao hicho, amemweleza Mhandisi Samamba kuwa anayo timu nzuri ya kumsaidia kutekeleza majukum

09/05/2024

Posted • /25

08/05/2024

Posted • /25

Want your university to be the top-listed University in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Arusha