HOT STORY SITE
HOT STORY SITE| FOR TRENDING STORIES IN TOWN| UNDER NGALE SON TZ PROFESSIONAL JOURNALIST FROM SAUT MWANZA| FOLLOW US FOR MORE INFO
25/06/2025
DERBY IPO 😆
21/06/2025
FULL TIME MAMELOD 3 DORTMUND 4 🚨
Africa inabebwa huku watu hawajapaki basi🔥
20/06/2025
🚨Wirtz Avunja Rekodi ya Usajili Liverpool
Florian Wirtz amejiunga na Liverpool akitokea Bayer Leverkusen kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 100, inayoweza kufikia milioni 116. Usajili huu unamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya Liverpool. Wirtz amesaini mkataba wa miaka mitano na alikataa ofa kutoka Bayern Munich na Manchester City.
Wirtz alianza kucheza Bundesliga akiwa na umri wa miaka 17, akiwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea Leverkusen. Alicheza mechi 119, akifunga mabao 38 na kusaidia 43 chini ya kocha Xabi Alonso.
Katika msimu uliopita, alihusika kwenye mabao 30 – akifunga 16 na kusaidia 14. Aliongoza Bundesliga kwa dribbles zilizofanikiwa na mchango wake ulisaidia Leverkusen kushinda Bundesliga na DFB-Pokal bila kupoteza mechi ya ndani.
Wirtz anakuwa mchezaji wa pili kutoka Leverkusen kujiunga na Liverpool baada ya Jeremie Frimpong. Anatarajiwa kuanza kuitumikia Liverpool kwenye FA Community Shield dhidi ya Crystal Palace Agosti 10.
20/06/2025
🚨FULL TIME: FLAMINGO 3 CHELSEA 1
Flamingo anabaki kileleni akiwa na Alama 6 akifuatiwa na Chelsea mwenye alama tatu
20/06/2025
🚨NICOLAS JACKSON AMEINGIA DK YA 64 DK YA 68 KALA UMEME
20/06/2025
🚨CHELSEA KIBAO KIMEWAGEUKIA
DK YA 83 YAN ANAIANDIKIA FLAMINGO GOLI LA 3
20/06/2025
Dk ya 68 Nicolas Jackson red card ♦️
20/06/2025
BREAKING NEWS🚨 KIABAO KIMEGEUKA.
Flamengo 2 Chelsea 1 na Chelsea wapo pungufu.
20/06/2025
Derby Ipo kweli? Au Atuchezi imeamia Mtaa wa msimbazi
20/06/2025
M***a Camara amecheza mechi 28 na hajafungwa katika mechi 18, akiongoza kwa kuwa na clean sheet nyingi msimu huu wa NBC 2024/2025.
Uwezo wake langoni umeifanya timu yake kuwa na ulinzi imara, na kumuweka katika nafasi ya juu k**a mmoja wa makipa bora wa msimu.
PSG VS BOTAFOGO LIVE SCORE🔥🔥🔥🔥
20/06/2025
BREAKING NEWS 🚨 DAWA YA KUTIBU MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPATIKANA
Marekani imedhibitisha Kupatikana Kwa dawa inayotibu maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Oldadai Arusha
Arusha