Kaska Tech
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kaska Tech, Entrepreneur, Arusha.
Je unafaham kwa nini bearing zako huaribika ndan ya mda mchache ?
Kwa wale wenye mashine leo tuna wahitaj hapa kwenye comments
14/11/2025
Kwa ss wafugaji wengi na wakulima wana jitahidi kwenda kisasa. Ila ngependa niwa fahamishe. Kwa wale wano waza kuagiza mashine mbal mbal. Tambua yakua sio lazma uagize mashine kwa ss hapa hapa nchin una pata mashine yenye ubora na ufanisi. Karibun kaska Machinery ujipate mashine yako
14/11/2025
Je ww ni mhitaj wa mashine ya kusaga na kukoboa. Bas karibu kaska Machinery tuku patie mashine yenye ufanis wa hali ya juu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Culinary Team
Attire
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Arusha
4044