Green Awareness Club
Award winning Environmental Club that educates and empower communities to conserve Forests and Environment. By @greenawareness.foundation
03/05/2026
Tulifanya, tukajifunza, tukahamasika!
Webinar yetu ya “Vijana na Uchumi wa Kijani” imefanyika kwa mafanikio makubwa LIVE kupitia TikTok pamoja na washiriki waliokuwepo ukumbini FTI Arusha.
Tulijadili fursa za ajira, ubunifu wa kijani, na namna vijana wanavyoweza kugeuza mazingira kuwa chanzo cha kipato. 🌱💼
Tunawashukuru sana wazungumzaji wetu, washiriki wote online na offline kwa mchango wenu mkubwa. Hii si mwisho—ni mwanzo wa hatua mpya!
•Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa “Vol. 2” inayokuja hivi karibuni.
•Usibaki kuwa mtazamaji, kuwa sehemu ya mabadiliko!
01/05/2026
Hii ni nafasi yako kubadilisha mtazamo wa maisha!
Unatafuta fursa ya kipato, skills za future, na connection?
Basi usikose mjadala wetu LIVE kuhusu:
“Vijana na Uchumi wa Kijani” 🌱
👉 Jifunze jinsi ya:
Kugeuza mazingira kuwa chanzo cha pesa 💼
Kuanza hata bila mtaji mkubwa
Kujenga skills zinazohitajika sasa na baadaye
🎥 Tutaenda LIVE – usikose!
📲 Share na rafiki yako 1 anayependa maendeleo
Usiwe mtazamaji tu… kuwa sehemu ya suluhisho! 💚
Shiriki kupitia TikTok live
https://www.tiktok.com/.club
26/04/2026
Vijana wakijadili, taifa linajenga kesho bora.
Kupitia mjadala huu, tumeshuhudia nguvu ya mawazo, umoja, na mshikamano katika kutafuta suluhisho endelevu za changamoto za mazingira.
Green Awareness Club tunaamini kuwa ushiriki wa vijana ni chachu ya mabadiliko ya kweli kutoka majadiliano hadi hatua.
Tunawashukuru washiriki wote kwa michango yao yenye tija. Tuendelee kushirikiana kulinda mazingira yetu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
26/04/2026
Jiunge nasi kwenye mjadala muhimu wa Mazingira! Utakao wezeshwa na kutoka
Pata maarifa, changia mawazo, na kuwa sehemu ya suluhisho kwa maendeleo endelevu.
👉 Follow ukurasa wetu sasa na usikose mjadala huu adhimu:
https://www.tiktok.com/.club
25/04/2026
Jiunge nasi kwenye mjadala muhimu wa Mazingira! Utakao wezeshwa na Ali Hamad kutoka
Pata maarifa, changia mawazo, na kuwa sehemu ya suluhisho kwa maendeleo endelevu.
👉 Follow ukurasa wetu sasa na usikose mjadala huu adhimu:
https://www.tiktok.com/.club
25/04/2026
Jiunge nasi kwenye mjadala muhimu wa Mazingira! Utakao wezeshwa na Salima kutoka
Pata maarifa, changia mawazo, na kuwa sehemu ya suluhisho kwa maendeleo endelevu.
👉 Follow ukurasa wetu sasa na usikose mjadala huu adhimu:
https://www.tiktok.com/.club
25/04/2026
Jiunge nasi kwenye mjadala muhimu wa Mazingira! Utakao wezeshwa na Dr. Makame Shauri kutoka
Pata maarifa, changia mawazo, na kuwa sehemu ya suluhisho kwa maendeleo endelevu.
👉 Follow ukurasa wetu sasa na usikose mjadala huu adhimu:
https://www.tiktok.com/.club
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Website
Address
Arusha