Mafuru tz

Mafuru tz

Share

Ununuzi na uuzaji wa samaki kwa bei ya jumla rejareja

17/09/2021
11/09/2021

Fft

08/09/2021

MAZUNGUMZO

Simba : Hivi Mtani hao watu uliowabeba hawakuchoshi??

Yanga :. Umeanza kunifata fata nikianza mimi usilalamike

Simba : Kwenye hao watu mmemkumbuka Mzee Akilimali au umeweka kina GSM tuu

Yanga : Kwan wewe umemtambua nani hapa

Simba : Nimeona wengi ila Mwakalebela hamjamuweka

Yanga : Mwakalebela asingetosha hapa

Simba : Jumla hao watu wako wangap kwani??

Yanga : Unataka idadi ya watu wangu

Simba : Ndio Swahiba

Yanga : Nipe iyo sabuni niwaogeshe ndo utawaona

Simba : Ushaaanza ubwege

Yanga : Tena kuwa makini uyo Mo Sports kwa kushirikiana na Vunja Bei wanaweza kukukaba usiku

Simba : Mimi nimejaza wadhamin wanatoa hela wewe umejaza wapigania Uhuru

Yanga : Halafu iyo sabuni hapo ikinyeshewa Mvua si inayeyuka?

Simba : Nikuuulize wewe unaechunguza mambo ya watu

Yanga : Halafu Swahiba mbona hawajakufanyia uzinduzi

Simba : Hilo hata mimi limeniuma

Yanga : Hawakupendi, wanaona hauna hadhi ya kufanyiwa sherehe Serena

Simba : Acha uchonganishi wewe

Yanga : Halafu Majina ya Wachezaji mtaweka kiunoni??

Simba : Kwann

Yanga : ile sehemu ya jina si mmeweka Sabuni ya Boss

Simba : Unaona wivu eeh na wewe kaweke godoro la Boss wako Mgongoni

Yanga : Halafu Majina niweke kwenye Bukta??

Simba : Utajua Mwenyewe

Simba : Halafu Mtani mbona hujatengeneza Jezi za watu Wanene

Yanga : Yanga hatuna wanene

Simba : Na jezi za watoto je?? Au hakuna Watoto wa Yanga

Yanga : (Kimoyomoyo) Hapa kaniweza, 🤔 Watavaa wakiwa wakubwa

Simba : Jezi za Wanawake nazo mbona hamna

Yanga : Kaka unauliza maswali mengi sana hebu hangaika na yako

Yanga : Halafu nasikia iyo nembo ikipigwa na upepo inabanduka

Simba : Endelea kusikia

Yanga : Basi tusitumie nguvu kubishana Tusubir kuona mwisho wa Msimu jezi ya nani itakua imepauka

Simba : Sawa Tusubir pia tuone jezi ya nani itabeba Kombe

Yanga : 😏😏

07/01/2021

Je,una tv

Want your business to be the top-listed Shop in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


0757755065
Arusha