Mwl. Amos
Friend of children & youth
03/11/2022
Hbr?
Taarifa,
Huduma zetu za masomo ya awali zinarejea tena kuliko kawaida kuanzia Januari 2023 baada ya kusimama kwa muda wa takribani miaka miwili sasa, tunamshukuru Mungu kwa kutupigania na kutuwezesha kurudi tena kazini. Kwa hiyo, kwa wazazi/walezi wanaohitaji kuandikisha watoto wao katika shule yetu MATULO'S VISION kuanza masomo ya awali tunawakaribisha sana wafike ofisini petu, fomu za kujiunga ziko tayari na ada zetu ni nafuu sana k**a kawaida yetu. Tunaandikisha watoto kuanzia umri wa miaka mitatu (3) hadi sita (6) na ni jinsia zote MBILI tunapokea - ME & KE; KARIBU SANA!
Location: Kiserian Roundabout...
Contacts:
Email: [email protected],
Mobile: 0754960143/0783960143
By,
Mwl. Amos (Mkurugenzi Mtendaji wa Shule - MATULO'S VISION)
Mission done in Tanzanian and Sri lanka, thank you Antonio for the great interview!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Website
Address
Kiserian
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |