BAHAO
Bakari Hamisi Omari
Muslim|Economist|Jordan University College
https://www.instagram.com/bahao_255?igsh=NHBtdm1meTRvMWM5
Amewahi kuyasema haya, huyu ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani tanzania CHADEMA (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo), hivi sasa ndiye Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na kiongozi mkuu wa chama tangu alipochaguliwa mwanzoni mwa mwaka 2025 kukiongoza chama. kwasasa yuko mahabusu kwa kesi inayosemekana ni ya uhaini yaani anashtakiwa kwa kosa ambalo hukumu yake ni kivyongwa hadi kufa hapa tanzania. Anaitwa Tundu A. Lissu alikamatwa kwa kosa hilo 09.04.2025 hivi sasa ana zaidi ya mwaka bado yuko mahabusu
Mhe. Tundu A. Lissu anaonekana ni msomi mahiri hasa kwenye sheria, ni jasiri na mpenda haki, anaongea kwa kujiamini na kauli zake zinaonekana kukubalika na wengi hasa watanzania wa kawaida na hata. ni mwanasiasa mkongwe nchini tanzania africa na hata duniani kwa ujumla.
ameandika vitabu kadhaa moja wapo ni "remaining in the shadow" utakipata online pia.
Airtm - Get Paid Better Join thousands of people who hold and move money using Airtm. Open a free account with us today and start saving.
bahao for East Africa.
Ramadhani is coming Ooo! god save us, protect us against bad things.
Give us power in all days, Allah! the SUPREME ONE, forgive us human beings.
We love you Allah and always we need you for help, no one like you Allah.
The king of kings is you Allah.
Allahu Akbar!
Allahu Akbar!
Allahu Akbar!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Songambele, Bwawani
Arusha
23220
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |