Covenant Home For All Nations
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Covenant Home For All Nations, Religious Center, Moshono-PPF Road, Arusha.
Mara nyingi tunayachukulia mazoea k**a sehemu ya kawaida ya maisha,lakini ukweli ni kwamba yanaweza kuwa Kikwazo kisichoonekana kinachozuia maendeleo yetu
Usisubiri mpaka mambo yaharibike ndio uanze kufikiria.Dalili huwa zinaanza kidogo,lakini zikipuuzwa hugeuka kuwa tatizo kubwa
Neema si kibali cha kuendelea katika dhambi,Bali ni nafasi ya kurejea,usipoitumia leo kesho inaweza isiwepo
Wengi wetu tuna roho ya kudharau watumishi wa Mungu,tukidhani tunajua zaidi kwa sababu ya mafanikio ya dunia Mungu hutumia watumishi wake kutuongoza.ukichagua kutii na kusikiliza, mema yatakufuata ,lakini ukipuuza na kubeza,matokeo yake si mazuri
Hukumu inakuja kutoka kwenye kile ulichofanya,matendo yako ndiyo sauti yako ya mwisho
Usipime uamuzi wako kwa sauti ya umati,Pima kwa sauti ya Mungu,usifanye maamuzi kwa kuogopa Mitazamo ya watu
Unatafuta mafanikio,lakini hujiulizi nini kinakuzuia.Dhambi ndogo unazozipuuzia kila siku Ndizo zinakujengea kifungo bila wewe kujua
HEKIMA PROPHET S.G WILLIAM PRINCE
Maneno yanaweza kubomoa au kujenga,chagua kusikiliza Yale yanayokujenga hekima
Mungu akimfunua adui mbele ya macho yako,usimpe nafasi ya kumfanya rafiki kuna nyakati unapitia magumu hadi unahisi k**a umeachwa,lakini huo si mwisho wako.Adui ana muda wake wa kujisifu,lakini ushindi wa Mungu haupotei kamwe
Kuna vita nyingi hazipigwi kwa macho zinapigwa kwa Siri,watu wengine hawataonekane k**a maadui,watakuchekea,watakaa Karibu na wewe lakini moyoni wana mipango yao ya Siri wa mungu ya kiroho
Tajiri wa kiroho ni tajiri wa Kweli,ukijenga maisha yako usisahau kuishi kwa mwongozo wa Mungu na kanisa,moyo mnyenyekevu na utii hufungua baraka zisizo na kipimo usikubali nafasi uliyonayo kukufanya udharau mapenzi ya mungu za Mungu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Moshono-PPF Road
Arusha